Hii stori alinisimulia afki yangu na wala siyo mimi yaliyonikuta......................LOL
Lakini ni funzo kwa kina baba wanaotake advantage kwa wadada wa kazi, sio wote ni honest au naive kiasi hicho!
Hongera kwa utunzi, hiyo inafaa kuwa movie tosha, kwa waandishi wazuri wa script
Hiki kipaji ni kutokana na uzoefu wa visa na mikasa nilivyopambana navyo ujanani...................................Mtambuzi inaonekana una kipaji cha narrative na kila mara unakuwa na ujumbe. Kwa kuwa watunzi wetu wa zamani wanatutangulia si vibaya ku polish kidogo tungo na kuandika vitabu. Watoto wapate motisha ya kusoma kama sisi tulivyosoma kina Elvis Musiba, Hammie Rajab, Katalambula, Ben Mtobwa, Agoro Anduru na wengine. Kuanzia hapo hata zinaweza hata kutengenezwa filamu.
Hata house girl alipojifungua, mchumba wa Kinyamwezi alishaolewa kitamboo.................................!angemfungulia kesi... daaah... Hacra zilishanchemka kwa huyo beki3... Ningembeba dogo hadi kwa mchumba wa zamani nkamuonesha chezo nlochezewa...
Siku hizi wameanzisha mchezo wa kugombea namba na wake zetu..................................nini hao wa mwaka 1997, ma housegirl wa siku hizi wanakuja na mawili kichwani...
wengine wanadiriki kuuliza kama kuna "baba"
baba ukiwa legelege mpenda vya bure kwishney
Siku hizi wameanzisha mchezo wa kugombea namba na wake zetu..................................
Mke asipowajibika tu, wanachukuwa nafasi.
Haki ya Mungu, naumbuka mchana kweupeee........................................
Hata house girl alipojifungua, mchumba wa Kinyamwezi alishaolewa kitamboo.................................!
Siku hizi tukionana tunabaki kutaniana tu lakini utukufu sioni ndani, kwani ashakuwa mke wa mtu
Na ndio maana nawaogopa ma house girl wa Mikoa ya Kusini.................
Nitakuwa natafuta ubaya na mama Ngina wangu.