House for sale - Nyumba inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

House for sale - Nyumba inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Aug 22, 2009.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 978
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Ipo Kitunda. Ni self contained ya vyumba vitatu kimoja wapo kikiwa masta. In sebure kubwa, dinning kubwa, jiko. Ni nyumba mpya. Inauzwa sh 50mil. Mazungumzo yapo, na pesa ruksa kulipa kwa awamu mbili. kwa maelezo ya ziada tuwasiliane.
   

  Attached Files:

 2. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2009
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe kwanini unaiuza? Ua iko kwenye eneo la tingatinga?
   
 3. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiongozi huwezi fanya mpango tukapata picha za ndani?
   
 4. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 8,325
  Likes Received: 5,045
  Trophy Points: 280
  picha ya ndani ni muhimu sana, jitahidi mkuu, utupe na vya ndani
   
 5. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Ipo kitunda ipi? Maana kuna kitunda shule. mwanagati, machimbo, kivule, na kitunda nyatila. Sasa ipo wapi kati ya hizo?
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,254
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 0
  Hi sugar.......
   
 7. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 978
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  nyumba inauzwa kwa sababu mtaji wa biashara unahitajika. Hipo sehemu salama. Nakuondoa wasiwasi hapana biashara ya tinga tinga!
   
 8. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 978
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Hilo ni muhimu nitalifanyia kazi as you so wish my lord!
   
 9. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 978
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Nyumba ipo Kitunda KIVULE
   
 10. K

  Kaka Mdogo Member

  #10
  Aug 24, 2009
  Joined: Aug 4, 2008
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Lete picha ya ndani tuone. Hauna ramani ya kuonyesha mahali ilipo? kwa sababu Kitunda kubwa na tunajua kuna eneo linalohusika na upanuzi wa uwanja wa ndege
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mpwa angalia anga za watu hizo
   
 12. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2009
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 15,162
  Likes Received: 5,297
  Trophy Points: 280
  uzuri wa nyumba choo!lete picha za ndani bila kusahau choo,isije kuwa choo cha shimo!!
   
 13. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 10,629
  Likes Received: 1,924
  Trophy Points: 280
  tuwekeee picha tukupe pesa..............
   
 14. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,056
  Likes Received: 3,416
  Trophy Points: 280
  Ukubwa wa kiwanja pia ni muhimu sana Kitomai.Tafadhali naomba kujua upana na urefu wa kiwanja.Nyumba imezungushiwa uzio ?,ina geti, je kiwanja kimepimwa.
   
 15. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,803
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Nyumba yenyewe hipo mtaa gani?
   
 16. Ngida1

  Ngida1 JF-Expert Member

  #16
  Aug 25, 2009
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 555
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Samahani ndugu, Kitunda ni wapi katika Tanzania?
   
 17. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 978
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Ondoa shaka hausiki na upanuzi wa kiwanja cha ndege.
   
 18. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 978
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Kitunda kivule
   
Loading...