House for sale at Ubungo NHC; going cheap! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

House for sale at Ubungo NHC; going cheap!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Ibrah, Apr 21, 2010.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  A house is for sale at Ubungo NHC (formely owned by NHC) behind Ubungo Plaza.

  LOCATION: Premier Area; Ubungo National Housing
  PLOT SIZE: 36 X 15
  HOUSE SIZE: 2 bedroomed, a sitting, toilet and a kitchen (Self contained)
  PRICE; 60 million shilling (not negotiable)

  TITLE IS AVAILABLE

  CONTACT: Miss Rachel 0717 348324

  Kazi kwenu wadau; deal hii si ya kuiachia
   
 2. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Tuwekee picha tafadhali!
   
 3. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Picha sijaipata lakini maelezo yanajitosheleza sana hasa kwa wakazi wa Dar maana nyumba za NHC za vyumba viwili zinafahamika sana. Ni zile nyumba ambazo zilijengwa moja moja na si zile mbili kwa pamoja kama behewa. Aina ya nyumba hizi zilijengwa Kijitonyama Makumbusho karibu na soko la Mkaumbusho.
   
 4. Ramwai

  Ramwai Member

  #4
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  - Mjengo wa zamani au? picha ni muhimu tafadhali
   
 5. Prisoner

  Prisoner Senior Member

  #5
  Apr 22, 2010
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mie nina dola 20000 upooooooooooooo
   
 6. K

  Katibu Tarafa JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2010
  Joined: Feb 16, 2007
  Messages: 980
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hebu niambieni ukweli,hivi leo pesa ya bongo inaikaribia ile ya mugabe ?
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Hicho ni kiwanja....ni pazuri eneo hilo kiuwekezaji.....Hotel hapo italipa vibaya sana
   
 8. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Mkuu, hizo USD 20,000 hapana, inatakiwa mara mbili ya hizo. Hilo eneo ni bomba sana kama unazo jitose tu Mkuu.
   
 9. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Mjengo ni wa zamani, si wajua nyumba za NHC zilivyokuwa? Enzi zake ilionekana ni mjengo wa aina yake lakini kwa nyakati hizi si kitu. Wengi wanaonunua hizo nyumba hubomoa na kuweka vitu vya nguvu-ama nyumba ya kuishi ya nguvu au jengo la biashara. Ni kama zile nyumba za Mwanayamala, si waona jinsi ambavyo watu wamesimika mijengo ya nguvu ya kiuwekezaji?
   
 10. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  vipi,nyumba bado ipo,if yes ni pm nije icheki
   
 11. killo

  killo JF-Expert Member

  #11
  May 14, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 393
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Heeee kumbe wafungwa nao wanahela eeeeh.....!!!! lol BIG P
   
Loading...