House for rent | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

House for rent

Discussion in 'Matangazo madogo' started by lifelines, Mar 11, 2010.

 1. l

  lifelines Member

  #1
  Mar 11, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HOUSE IS AVAILABLE FOR RENT .Please Click http://www.tanzaniarealestates.com/KDR4001.htm  Physical Address: Area: Ununnio Beach ,Boko Basihaya near Kunduchi.
  Rental Price: 500,000 Shillings Per month only
  Currency: TZS
  Rent: YES.
  Property Type: House
  Property Style: Four Bedroom House
  Bedroom: 4
  Bathroom: 3
  Kitchen: 1
  Propery Age: New
  Property Description: 4 Bed room House with wall fencing for Rent.The House has ample Parking facilities, tiled floor ,three toilet-cum showers.The rent is 550,000 Shillings per month.. The house is located at Ununio Beach / Boko Basi .The House is about 300 metrs from Beach front and 200 metres from main road. Contact at 0717936432
  Appliances: Yes
  Floor Covering: Tiles
  Upgrades: Silk painted walls
  Features: Classical House
  External Fencing: Bricks
  Parking Space: 4 cars
   
 2. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Dah!
  Uandishi wako hauvutii kabisa.

  Any way hiyo ya laki 5 mi nna laki 2 kwa mwezi.
  Au?...
   
 3. B

  Bob Momoh New Member

  #3
  Mar 13, 2010
  Joined: Mar 7, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duuu mwanangu laki 5 halafu Boko???
   
 4. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Picha za ndani je? Nyumba kwa nyuma? Bafu na choo? Jikoni kumekaaje? (usikute jiko ni la nje!)
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kilo 5 boko, duh kweli bongo zaidi ya uijuavyo.
   
 6. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Laki 5 nyingi mkuu kwa mwezi, fanya elfu 80 -laki 1.5 kwa mwezi makabwera tutajitokeza
   
 7. M

  Matumaini Member

  #7
  Mar 14, 2010
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Mkuu,mbona hii nyumba ina rent mbili tofauti? Ni laki tano au laki tano na nusu?
   
 8. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Ndio maana watu hujenga mabondeni au hujenga nyumba za miti loh Boko laki tano kwa mwezi bado hujaweka wese la motokali au hiyo nauli ya kwenda town,halafu umepanga huko Boko shughuli ipo,
   
 9. l

  lifelines Member

  #9
  Mar 15, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi ,Ahsante ongeza Fedha tuzungumze
   
 10. bht

  bht JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  lifelines mie nataka yenye vyumba viwili vya kulala, choo, bafu, jiko na iwe ndani ya fensi....unayo??
  hiyo laki tano yaani ntakufanyia kazi wewe tu kila mwezi....
   
 11. l

  lifelines Member

  #11
  Mar 15, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa majibu mazuri nipigie Simu tuzungumze.
   
 12. bht

  bht JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  nani sasa maana wengi tumeuliza majibu mazuri sijui ya nani...
   
 13. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2010
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nyumba ya kupanga ipo Mbezi Luis/Kwa Yusufu, njia ya kueleka Mpiji Magoe kilometa mbili kutoka barabara ya Morogoro. Nyumba ina sebule, chumba cha kulala, sehemu inayoweza kutumika kama jiko na stoo. Choo ni cha nje. Nyumba haina umeme kwa sasa. kodi ni shilingi 200,000, negotiable. Kwa mawasiliano 0754 383 416
   
 14. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Dah! Hii kali zaidi. Hakuna umeme?! Chumba ki1?...
  Haya bana am out of ths.
   
 15. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,807
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Kisa eti iko karibu na Beach, wabongo banaaaa rahaaa kweli
   
 16. l

  lifelines Member

  #16
  Mar 21, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 17. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kwa vyumba vyote hivyo na eneo hili, naona ni fea sana hii kodi.
   
 18. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mi naomba kuuliza wakubwa, vyumba vya pale mlimani city ni shingapi, na nitapataje contact zao, mwenye nazo naomba. nahitaji kukaa pale kwa muda nikirudi hapo bongo kabla ya kuja tena huku majuu. thanks.
   
 19. J

  Jafar JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mtoto wa Mungu,
  Pale Mlimani si-te, Unataka sehemu ya duka au pa kulala? au unamaanisha "savei"
   
 20. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Tena wakati huu wa masika ni mzuri ili mpangaji apate picha ya mabwawa ya chura atapita hadi afike home!!! Pia ni lazima useme miundombinu ya barabara ikoje huko maana mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh kule ni habari yake kabisa!!! Kwa wasio na haraka ukitaka kutafuta nyumba ya kupanga au kiwanja hasa Darisalama , masika ni muafaka kabisa!!
   
Loading...