House For rent

Obhusegwe

JF-Expert Member
Dec 28, 2008
231
28
Hello wana JF!

Nina nyumba ya kupangisha yenye description zifuatazo:

> Nyumba ya kisasa kabisa ya ghorofa moja
> Ina vyumba 3 vya kulala juu, na kimoja chini (vyumba vyote vina choo na bafu) Master bedroom kubwa.
>Sitting room na dining kubwa
>Jiko kubwa la kisasa
> Nyumba iko kwenye kiwanja kikubwa, ikiwa na garden kubwa na ya kuvutia(angalia picha)
>Ina servant Quarter, na garage ya gari 2
>Maji ya uhakika

Mahali ilipo; Bahari beach near Budget resort, its about 150m from tarmac road and about 300 metres from the beach. The house is sorrounded by a beautiful neighbourhood with maximum security ( plus the police post is just 200 metres away!)

For enquiries and further details please contact me on 0713535989 or mcmac812000@yahoo.com or by just sending a Private message.

The monthly rent is very fair, affordable..... and best of all negotiable(for serious prospective tenants)

Find the attached photos hereunder!!
obhusegwe-albums-picha-zangu-picture769-mbele-2.jpg

obhusegwe-albums-picha-zangu-picture768-mbele.jpg

obhusegwe-albums-picha-zangu-picture771-nyuma.jpg

obhusegwe-albums-picha-zangu-picture770-bustani.jpg
 
Attachments

  • mbele 2.JPG
    mbele 2.JPG
    65.2 KB · Views: 170
  • mbele.JPG
    mbele.JPG
    57.7 KB · Views: 154
  • bustani.JPG
    bustani.JPG
    66.3 KB · Views: 146
  • nyuma.JPG
    nyuma.JPG
    48 KB · Views: 158
Hivi kwa nini sisi wabantu huwa tunatangaza biashara bila kutaja bei?

Ndugu, ukitaka bei utapata, swala la muhimu ni je unahitaji? Umekuwa impressed na bidhaa? Make hapa sitaki kuanzisha mjadala wa comparison ya bei badala ya kuzungumzia nyumba ilivyo. Wenye kuhitaji pls ni PM, au hata ukinitumia sms kwa namba niliyoweka hapo juu nitakupigia. Anayependa kuiona anakaribishwa.

Heshima mbele
 
Nawaombeni........kwa mnaotangaza biashara zenu hapa........mkishafanikiwa.........jaribuni kuchangia kiasi kidogo JF........
 
Nimekusoma mkuu, haina shaka nitawasiliana na mac de melo once nikifanikiwa. I promise.
 
KAMANDA HIYO BIASHARA YA BEI ZA UCHOCHORONI SIO VIZURI KAMA WEWE NI GREAT THINKER WA KWELI, IWEJE DESCRIPTION ZOTE ZA NYUMBA PAMOJA NA PICHA UWEKE ALAFU BEI KWENYE PM

hebu tubadilikeni bac, weka bei mkuu
 
Uzoefu unaonyesha kuwa ukiweka bei unawapa faida waosha vinywa tu. Nimeweka picha na contacts zote, mwenye kuhitaji aseme nitamtumia bei right away. Kama unashindwa kuomba nikutumie bei kwenye pm au e mail utapata muda wa kuja kuiona nyumba?
 
wacha ubishi weka bei
au hauna confidence na bei yako
ukiwa unatafuta nyumba lazima ujue bei na ulinganishe na sehemu nyingine
kutokuweka bei na kuwa mbishi wa kuweka ni walakini tosha
 
Am confident enough with what am doing. Wenye nia wameshajua.
 
Weka range walau, mfano USH 50 to USH 90
Btw, mi sihitaji hiyo nyumba, pia nikisikia mtu anatafuta ya mfano huo, sitamtajia hii uliyoweka maana hakuna bei.
Umenipotezea dakika zangu 6 kufungua hii post. :(
 
Hello wana JF!

Nina nyumba ya kupangisha yenye description zifuatazo:

> Nyumba ya kisasa kabisa ya ghorofa moja
> Ina vyumba 3 vya kulala juu, na kimoja chini (vyumba vyote vina choo na bafu) Master bedroom kubwa.
>Sitting room na dining kubwa
>Jiko kubwa la kisasa
> Nyumba iko kwenye kiwanja kikubwa, ikiwa na garden kubwa na ya kuvutia(angalia picha)
>Ina servant Quarter, na garage ya gari 2
>Maji ya uhakika

Mahali ilipo; Bahari beach near Budget resort, its about 150m from tarmac road and about 300 metres from the beach. The house is sorrounded by a beautiful neighbourhood with maximum security ( plus the police post is just 200 metres away!)

For enquiries and further details please contact me on 0713535989 or mcmac812000@yahoo.com or by just sending a Private message.

The monthly rent is very fair, affordable..... and best of all negotiable(for serious prospective tenants)

Find the attached photos hereunder!!
obhusegwe-albums-picha-zangu-picture769-mbele-2.jpg

obhusegwe-albums-picha-zangu-picture768-mbele.jpg

obhusegwe-albums-picha-zangu-picture771-nyuma.jpg

obhusegwe-albums-picha-zangu-picture770-bustani.jpg

duh ebanaeeeeeeeee nilikua sijui kama JF kuna watu iko na hela namna hiii duh mazee upo g.yu...ila chondechonde isijekuwa za EPA..
 
Am confident enough with what am doing. Wenye nia wameshajua.

You are absolutely right.Mwenye kutafuta atawasiliana nawe moja kwa moja.Usiwape watu nafasi ya kuosha vinywa!Kwa mfano utasema kiasi fulani then mtu anaanza kutoa maneno machafu.Nice house kwa muonekano wa nje and well manicured garden!All the best!
 
Thanks a lot. Nadhani umenielewa. Karibu
 
Weka range walau, mfano USH 50 to USH 90
Btw, mi sihitaji hiyo nyumba, pia nikisikia mtu anatafuta ya mfano huo, sitamtajia hii uliyoweka maana hakuna bei.
Umenipotezea dakika zangu 6 kufungua hii post. :(

Lazy dog

Nashukuru kwa ushauri wako, lakini kama nilivyosema mwanzo, kila mtu ana uamuzi jinsi ya kumchinja kuku wake(wengine wanakata shingo, wengine wananyonga, wengine wananyonyoa n.k) sasa mi ndo style hiyo niliyoamua kutumia kutangaza biashara yangu. Kwani ukienda dukani unatafuta nguo, ukakuta zote hazijawekewa bei utaacha kuuliza? Nadhani hapana. Pls kama una ndugu/jamaa anahitaji nyumba usisite kumwambia kwa sababu tu sijaweka bei....labda kama nyumba anayohitaji ina description tofauti na ya kwangu.

Nashukuru sana kwa concern yako, na nahisi utakuwa umeridhika na maelezo yangu, na Karibu katika biashara.

Heshima mbele.
 
Weka range walau, mfano USH 50 to USH 90
Btw, mi sihitaji hiyo nyumba, pia nikisikia mtu anatafuta ya mfano huo, sitamtajia hii uliyoweka maana hakuna bei.
Umenipotezea dakika zangu 6 kufungua hii post. :(

Pole mkuu naona mdau hataki bei iwekwe hadharani watu tujue. Ila kwa kuingalia nyumba, mandhari yake na mahali ilipo haipungui USD 1000 (around Tshs.1.33 mil.) hivi kwa mwezi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom