House4Rent House for rent Location mbezi beach price 900 Usd Call+25517097905

Emmanuel Akim

Member
Jun 9, 2017
71
16
82ca2c96b04f9646cc6b3504a66afa30.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahali tulionayo sasa KILA KUKIKUCHA NI BORA YA JANA
mkuu hio house subiri 2020

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Bei yake ni kubwa sana kama haina kitu.
Apartment unapata kwa dollar 650 inclusive service charge (Ulinzi, Waste, Maji, Genereta, Parking)
 
Kwa sisi ambao tunaishi hapa Tanzania hatutumii $ tunatumia Tsh je Qualify kufanya malipo? Tatizo lenu nyinyi wenye nyumba kama hizi mnapenda kutonza kodi za $ na kudharau pesa yetu ya Tanzania. Ujenzi wako uliufanya kwa kulipia $?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom