House for rent-300k/month | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

House for rent-300k/month

Discussion in 'Matangazo madogo' started by rakeyescarl, Aug 25, 2010.

 1. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tunaohitaji sehemu ya kujisitiri kwa muda nyumba ndio hiyo:
  1)1 Bedroom self contained/AIR CONDITIONED
  2)Big talking room with big windows
  3.)3 normal bedrooms
  4)1 normal kitchen
  5) 1 guest bath/toilet -European(inside)
  6) 1guest bath/toilet-Asian(inside)
  7)Big corridor
  8)5min. walk from a bus stand
  9)tel(TTCL)/Electricity-LUKU METER available
  10)LOCATION TANDIKA-ON A STREET
  11)VERY BIG COMPOUND
  12)NO GARDEN
  13)NO BARGAINING AND RENT WILL BE FOR 12 MONTH
  NB:This is the only area in TZ where you have 24hrs daladala from Kariakoo and on top its the only area where you can shuttle to any place in DSM using 1 bus:Tarmac road is only a few meters from the street.
  As always critics are welcome to make me happy,serious people and others as long as you are INTERESTED JUST EMAIL ME rakeyescarl@yahoo.ie
  : you are all welcome:
   
 2. K

  KyelaBoy JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 9, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka vibaka wamekwisha siku hizi maake Tandika ni kama Manzese
   
 3. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Hivi?
  Vibaka wanaenda likizo?
   
 4. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu umenivunja mbavu kweli....
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Maji ya madumu sio..?
   
 6. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2010
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Hayo ni maeneo ya kuogopa utakimbia vibaka na kodi utasamehe, pia nyumba zilizokuzunguka zina vyoo vya shimo hapaliki kitu hapo ni kulala tu!
   
 7. Abraham

  Abraham Senior Member

  #7
  Aug 26, 2010
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wakuu mi nafikiri hata ukicheki kodi yenyewe ukilinganisha na facilities zilizoko kwenye nyumba utagundua mengi. Kwa sababu nyumba yenye same facilities ikijisogeza tu hata maeneo ya Sinza/Mwenge/Kijitonyama e.t.c bei yake inaweza kuwa mara 3 hadi mara 5 ya hiyo. KWa hiyo kwa mtazamo wangu I will just prefer to re-call some old proverb that "be carefull when the deal seems too good".


  Nawasilisha
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,445
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Mzee,
  Kwa maelezo haya,ingekuwa ni Masaki hapo ungekula $4,000 pm....vipi kuhusu majirani ni wa kiswazi au vipi?.....jirani ni mtu muhimu sana....swimming pool hakuna?...fence,parking gari ngapi na geti je?......DAWASCO je?....big up for the effort though...tuwekee picha tuweze kushawishika zaidi
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,107
  Likes Received: 5,564
  Trophy Points: 280
  yaani huko ni bora nikapange kwa mtogoli ambako vibaka wakikujua usiku wanakusamehe tandika wakikujua ndio wanakumaliza wanyama wakubwa kuliko simba
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,107
  Likes Received: 5,564
  Trophy Points: 280

  tema mate chini kiweka picha unaweza usifike we piga ama wasiliana ukaione mwenyewe ....akikuonyesha bomba la mavi pembeni utaenda mwaya usituonyeshe wacha tuje wenyewe best
   
 11. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2010
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Waswahili tunajuana,OK shida lakini kwa bahati nina majibu ya yote.
  1)Wizi-nyumba iko insured kwa fire and theft(upto 10M). Hatari kwenye suala la wizi ni wale wa kwenye gates ambao nasikia kila siku wameua watu Sinza na Tabata wengi mnasikiliza habari-sijawahi kusikia tukio la hivyo kwa Tandika.
  2.Gari zinaweza kuingia hadi gari 5
  3.Maji-7Thousand litres-DAWASCO
  4.Vyoo?Jamani nimewaambia hii nyumba iko kwenye street!niwaeleze vipi?sio kama Sinza unapokuta choo kiko mbele ya nyumba?
  5.Majirani?kulia hamna nyumba ni conner plot,kushoto ni mpemba ,mbele kapanga Indian.
  6.Baada ya banker mmoja wa NMB/Temeke kunipigia simu ametaka kujua vitu vya ziada ambavyo sikujua kwake ni deal-fllor tiles mimi nilifikirini standard,nyumba yote iko tiled.
  7.Swimming Pool? Safari_ni_Safari-watu wengi wanaokaa kwenye computer, asilimia 2 ndio wanajua maana ya mazoezi ikiwemo swimming,ukinionyesha unapokaa kwako kama palikuwa na swimming pool nitakupa option,sio uje kujifunzia swimming kwenye nyumba ya 10,000/day. Hayo maji na umeme utaviweza ndg yangu?au ndio mambo ya JF?
  8.Jamani kama unataka nyumba yenye mambo yote hayo plus security ya Sinza,swimming Pool,garden,plus extras naomba mwenye 25% of what ndg Safari_ni_Safari aliyo propose nimpe nyumba Sinza au Mwenge i.e kama sikulipwa saturday hii nyumba. And hivi mnajua mama Salma,mzee Mwinyi, etc wote hawa ni wenyeji wa Tandika?Chuo kikuu cha bandari Tanzania nzima kiko mtaani kwetu?

   
 12. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2010
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nimecheka kweli nikisoma kila mtu anazungumzia Tandika kana kwamba ni Somalia,je ni kweli nyote naoandika hivyo hamna wazazi,ndg wa karibu, wanaoishi Manzese na Tandika?Vibaka wako Salender Bridge,Mlalakuwa Bridge,Kunduchi, Oysterbay,mwenge etc someni taarifa za ulinzi shirikishi Ndio maana Oysterbay wameunda sungu sungu inalinda mpka salender bridge itakuwa Manzese/Tandika. Na sasa wako kwenye training kujisambaza huko mnakoita kwenye amani.
  Wengi hapa wakiishazima PC mwelekeo ni bus za kwenda Tandika/Temeke na Mbagala-ahaaaaaaaaaaaaaha! sikilizeni TMK boys walichosema!
   
Loading...