House boy au house girl - nani zaidi?

Hehehe! Nasikia Kaseja na Chuji walimmegea baamedi wake akawamaindi!

Hahahaha yeah sure kitoto chenyewe kipo kipo tu halingani na Eliza bana, vijana walijiexpress alipo kuja kupita Masikio Makimo akakuta utamu wote vijana wamemaliza kibaya zaidi wakati yeye anazama kitoto kikawa kinawataja hawa wadau jamaa kuwakomesha akawapa ban ya maisha Starz.
 
Shida niliyo nayo ni hawa marafiki, ilisikika eti mimi ni zaidi ya Fidel kwanye ile line ya kujiexpress

Swadakta kula za maoni zinaonyesha upo juu mpwa kwa kujiexpress kwa hiyo unaogopwa kama ukoma.
 
Hahahaha yeah sure kitoto chenyewe kipo kipo tu halingani na Eliza bana, vijana walijiexpress alipo kuja kupita Masikio Makimo akakuta utamu wote vijana wamemaliza kibaya zaidi wakati yeye anazama kitoto kikawa kinawataja hawa wadau jamaa kuwakomesha akawapa ban ya maisha Starz.

Ngoja na sisi tutampa ban! Au kwakuwa analipwa na mkuu wa kaya hatuna jeuri hiyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom