House allowance ipo kisheria katika sheria za kazi,,naomba msaada wenu kama ipo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

House allowance ipo kisheria katika sheria za kazi,,naomba msaada wenu kama ipo.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by MAGAMBA MATATU, Aug 14, 2012.

 1. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  Wakuu naomba msaada wa kujua kama kuna sheria ya kupata house allowance ndani ya sheria zetu za kazi zilizopo hapa Tanzania ili mwajiri wangu aweze kunipa hii allowance,,,ni vizuri kama ipo nijue ni kipengele namba ngapi.
   
 2. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  House Allowance ni benefit unayopewa katika mkataba na mwajiri wako kwa hiari yake na siyo matakwa ya sheria ya kazi, allowance zinazotolewa kisheria ni kama overtime, transport, likizo n.k na mtu hawezi kuenforce house allowance dhidi ya mwajiri ikiwa haipo kwenye mkataba. mara nyingi hizi allowances zinatokana na kitu kinaiitwa collective bargaining.
   
Loading...