Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,623
Leo nilikua nimeket na masela zangu tunabadilishana mawazo msela mmoja alikua na radio pemben anasikiliza hotuba ya rais kwa saut ya chin lakin mwana mmoja akamwambia jomba ongeza saut kidogo huyo ni magu anatema cheche aisee hotuba ilikua ni nzur ya kuvutia sio siri yaan nilitaman aendelea kuhutubia hata had saa mbili maana ile hotuba ilikua ni nzur balaa nataman magu awe anatoa hotuba kila baada ya week maana hotuba zake ni tamu sana kwakweli