kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,512
- 2,730
hivi tangu mwanzoni tulikuwa hatumuelewi rais wetu alivyokuwa anasema "Tanzania ninayoitaka Mimi","hii ndiyo Tanzania ninayoitaka"hapa haijalishi km watanzania wanaitaka au la maadam bwana mkubwa anaitaka yeye then na iwe hvy.Leo nmemsikia anavyoongea, aibu naona mimi!!