Hotuba za Nyerere zinachujwa Sana awamu hii

Makosa

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
1,183
2,612
Zamani kwenye media zote kuanzia RTD(TBC) mpaka za binafsi hotuba zote za Nyerere ziwe za kukemea au kuhamasisha zilikuwa zinarushwa bila hata kuchujwa maudhui.

Ila sahizi wanachukua tu "lukipande" lunampendeza "Mkulu" ndio wanarusha ila zile kalikali za kukemea sahizi huzikii kwenye media yoyote ile.

Tumechukua yale yanayotufurahisha na tumeyaacha yale yanayotuonya halafu tunasema Tunamuenzi Nyerere !!

Media zote sahizi zinaangalia hotuba zinaangalia zinazorushwa na TBC halafu na wao ndio wanacopy na kuzirusha.
 
Toa mfano wa hotuba iliyo chujwa.....Au tuweeke humu ndani hiyo hotuba iliyo chujwa...
 
Zamani kwenye media zote kuanzia RTD(TBC) mpaka za binafsi hotuba zote za Nyerere ziwe za kukemea au kuhamasisha zilikuwa zinarushwa bila hata kuchujwa maudhui.

Ila sahizi wanachukua tu "lukipande" lunampendeza "Mkulu" ndio wanarusha ila zile kalikali za kukemea sahizi huzikii kwenye media yoyote ile.

Tumechukua yale yanayotufurahisha na tumeyaacha yale yanayotuonya halafu tunasema Tunamuenzi Nyerere !!

Media zote sahizi zinaangalia hotuba zinaangalia zinazorushwa na TBC halafu na wao ndio wanacopy na kuzirusha.
Hii ya wanasiasa Malaya wataipiga marufuku muda si mrefu
 
Zamani kwenye media zote kuanzia RTD(TBC) mpaka za binafsi hotuba zote za Nyerere ziwe za kukemea au kuhamasisha zilikuwa zinarushwa bila hata kuchujwa maudhui.

Ila sahizi wanachukua tu "lukipande" lunampendeza "Mkulu" ndio wanarusha ila zile kalikali za kukemea sahizi huzikii kwenye media yoyote ile.

Tumechukua yale yanayotufurahisha na tumeyaacha yale yanayotuonya halafu tunasema Tunamuenzi Nyerere !!

Media zote sahizi zinaangalia hotuba zinaangalia zinazorushwa na TBC halafu na wao ndio wanacopy na kuzirusha.
Bwana ee tunamuenzi father wa Taifa. Na tuko busy na teuzi na tenguzi sambamba na viwanda mkuu.
 
Hizi hotuba hazipo kwenye public domain? Sheria za copyright tunazotumia zinasemaje kuhusu hizi hotuba?
 
Zinachujwa Kwa maelekezo ya Jiwe

Yule Mzee alikuwa Nabii Kwa kila alichokuwa akikiongea kinatokea kipindi hiki!
 
Madikteta siku hizi ni wa kwetu .......

Kazi kuonea onea watu tu, kupiga piga tu watu tu ......

Zamani walikuwa LATIN AMERICA, ila sasa wamebaki zaidi AFRICA

Courtesy: JK NYERERE

Hiyo hotuba ukiiweka humu INAONDOLEWA, ukiweka tena UNAPIGWA BAN
- Huwezi kuisikia RADIO wala TV yoyote
 
Zamani kwenye media zote kuanzia RTD(TBC) mpaka za binafsi hotuba zote za Nyerere ziwe za kukemea au kuhamasisha zilikuwa zinarushwa bila hata kuchujwa maudhui.

Ila sahizi wanachukua tu "lukipande" lunampendeza "Mkulu" ndio wanarusha ila zile kalikali za kukemea sahizi huzikii kwenye media yoyote ile.

Tumechukua yale yanayotufurahisha na tumeyaacha yale yanayotuonya halafu tunasema Tunamuenzi Nyerere !!

Media zote sahizi zinaangalia hotuba zinaangalia zinazorushwa na TBC halafu na wao ndio wanacopy na kuzirusha.
Hahah
 
Back
Top Bottom