Hotuba za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Hakuna mkuu nenda k.koo wachina wanauza buku 2 unadaka dvd
 
wachina wenye kujua fursa wametengeneza hizo zinauzwa na k/koo.bugurun/mwenge/ubungo etc
 
Noambeni website ya kuniwezesha kupata mp3 za hotuba za baba wa taifa.
1. Uwe na internet downlod menager
2.Nenda youtube na andika jina la huyo mwalimu kisha chagua hotuba unayotaka.
3.cheza hiyo hotuba unayotaka na muda huo IDM itajitokeza na uikubali kwa kudownlod
4. Baada ya kudaunlodi, ipeleke katika softiwea ya kubadilisha kuwa mp3, shida yako itakuwa imeishia hapo.
 
Hivi Nyerere alitekeleza lipi zaidi ya kuiwacha hii nchi maskini wa mwisho duniani?
Kwani viwanda na mashirika ambayo wakuu wako wanauza alijenga nani?muulize mzee wako aliesoma bure atakuambia
 
bila shaka mwalimu alikukomesha mla rushwa mkubwa!

Mwalimu wenu alininyang'anya ufaulu wangu akampa mgalatia mwenzake, hapo kweli alinikomesha wala si uongo. Lakini Alhamdulillahi, Mungu si Athumani, walioujuwa uwezo wangu wakanambia tafuta shule private uipendayo ikiwa ni ndani au nje ya Tanzania. Madogo hayo?
 
Madogo sana tu.
 
Back
Top Bottom