Hotuba za Mwal Nyerere na Magufuli zitabaki kama reference kucharange viongozi 2025

Kwa iyo kipindi chake Mtwara ilijitenga Na Rukwa? Ficha kamasi zako zilizo jaza kichwa chako
Wewe Buhare kichwa chako kina funza. Unaweza tu kutukana ila hoja huna. JokaKuu ameongea namna DIKTETA Magufuli alivyokuwa divisive force kwa Watanzania. Unachokataa ni nini sasa. Hujui kuwa kwa kauli yake alitamka kuwa hawezi kupeleka maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani
 
Punguani peke yake ndiye anaweza kusikiliza hotuba za Magufuli.
 
Naanza kujiuliza ilikuwaje Hotuba za Nyerere na Magufuli zinasikiluzwa sana? Sijawahi ona mtu anachukua hotuba ya Mwinyi nakuisemea jambo? Hotuba za Mkapa nazo sioni wakiangaikanazo pia za JK!

Kwanini Mwalimu Nyerere hotuba zake zi hai mpaka leo?

Vision ya Mwalimu Nyerere kwa Tanzania ikishabiihana sana na Vision ya Magufuli, Usishangae kwanini azimio la Arusha liliondoolewa kwa ujanja wa Azimio la Zanzibar.

Naiona 2025 lakini si sana ila 2030 nahisi kabisa wanachi watakuwa wanajifariji na hotuba za Mwal Nyerere na Magufuli. Mwal Nyerere aliwahi kuwaambia CCM 1995 wateua mgombea ambae wote watakuwa na uwezo wa kumtetea, na ata kama ukiulizwa je huyu atafaaa kupiga vita rushwa? Jibu lako liwe ndiyo na si ndiyo ya mdomoni tu lakini mpaka kwenye nafsi yalo iwe hivo.

Kazi kwenu CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wenye maono bado mpo
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom