Hotuba za kampeni za Magufuli zina fitna na laghai, zinawafaa wasiosoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba za kampeni za Magufuli zina fitna na laghai, zinawafaa wasiosoma

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Msulibasi, Oct 4, 2015.

 1. Msulibasi

  Msulibasi JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2015
  Joined: Dec 2, 2014
  Messages: 4,492
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Anaanza kukandia ahadi za wenzie kisha anaitoa ahadi hiyoohiyo, anakuambia kutakuwa na viwanda vya vioski-Nchi haikuwa na viwanda kwakuwa hakukuwa na umeme
   
 2. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2015
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,921
  Likes Received: 1,192
  Trophy Points: 280
  Kule Ngara Tz ya JPM watachimba Nickel, then kitajengwa kiwanda cha mabati yanayotokana Na Nickel ya ngàra. Simple like that
   
 3. Msulibasi

  Msulibasi JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2015
  Joined: Dec 2, 2014
  Messages: 4,492
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  hiyo nickel ni ya magufuli ama ya tanzania acheni kukosa akili .Alisema Lowassa anapenda kujisifu kuwa anafanya hiki na kile na kudai kuwa mtu hafanyi bali serekali sasa yeye hata leo anasema nilijenga hiki mimi nitafanya hivi sasa namuogopa huyu jamaa uwezo wake ndio maana wanasema ccm ni ya wasioenda shule -speech zake ni za kienyeji kupitiliza sijui itakuwaje akichaguliwa nchi itasambaratika-nimeanza kumuogopa sana na hako kaukabila tena aisee
   
 4. L

  Lorah JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2015
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Watanzania ogopeni mtu mbinafsi...haki ya nani sisi wanaukawa tunaomba kuingia ikulu..ila nawasihi wanao ipenda ccm wafunge na kuomba magufuli asiingie ccm atawafanya 2020 ccm isiweze kupata kura hata za ruzuku
   
 5. Dr.Mo

  Dr.Mo JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2015
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 3,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ivi kwanza hua anahutubia kitu kinachoeleweka. Mi naona ni mtu wa majungu, mipasho, vituko kama push up na kuwwacha akina nape wanatukana.
   
 6. Msulibasi

  Msulibasi JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2015
  Joined: Dec 2, 2014
  Messages: 4,492
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  namuona kama mgombea udiwani hivi hata uwaziri anafaa hapo kwenye ujenzi maana ni mechanical .otherwise ni mtu asiye na exposure na mambo nje ya chemistry -nchi itagharimika sana nadhani wazee wa ccm wamekaa kimya wanajua aina ya mteule wanaogopa kulaumiwa na watanzania ,nimempima sana huyu bwana nikaangalia mapushap nikaangalia picha anavoruka kwenye gari siamini najiuliza kwanini Nyerere alikufa mapema?angalikuwepo mambo yangalikua hivi?mgombeaa wa ccm wa kiwango hiki? anadai katika mawaziri wa tanzania yeye na nagu ndio wamekaa miaka mingi wengine ni miaka miwili mmoja sasa sijui ccm wanamchukuliaje huyu bwana maana anakuwa kama mgeni kutoka sayari flani-bahati ni kuwa watanzania hawana elimu ni kushangilia tu
   
 7. K

  KWATWANGA Senior Member

  #7
  Oct 4, 2015
  Joined: Sep 23, 2015
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :A S-cry:nikawaida kwa ccm kuigeuza ikulu kua pango la wanyanganyi
   
 8. mwamajinja mapunga

  mwamajinja mapunga JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2015
  Joined: Dec 23, 2014
  Messages: 1,083
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 180
  ha ha ha haaaaaa nacheka comment ya juu hapo
   
 9. KILIVITE

  KILIVITE JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2015
  Joined: Feb 14, 2013
  Messages: 1,302
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Viwanda vya Magufuli vitatumia umeme gani maana hivi tunavyoandika umeme ni wa mgao na maji ni kero kubwa.
   
 10. K

  KWATWANGA Senior Member

  #10
  Oct 4, 2015
  Joined: Sep 23, 2015
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :A S-cry:nikawaida kwa ccm kuigeuza ikulu kua pango la wanyanganyi

  :whoo:razima iondoke madarakani ikulu si pa ccm tu mme elewa vijana:laser::fencing:lazima waondoke kwa staili hiyo:cheer2:
   
 11. KILIVITE

  KILIVITE JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2015
  Joined: Feb 14, 2013
  Messages: 1,302
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Magufuli is not a presidential material kabisa.Hana utashi wa hotuba,ana kila dalili za udikteta,ana majivuno,mbinafsi asiyeshaurika na mwenye ahadi lukuki zenye harufu nzuuri zisizotekelezeka kabisa.
   
 12. K

  KWATWANGA Senior Member

  #12
  Oct 4, 2015
  Joined: Sep 23, 2015
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :typing::typing::typing::typing::typing::typing::typing::typing:
  :typing::typing::typing::typing::typing::typing::typing::typing::typing:
  :typing::typing::typing:hawa ndio mfano wa watanzania wanao ongozwa sio hawa:doh::doh::sick:
   
 13. Dr.Mo

  Dr.Mo JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2015
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 3,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ukitulia ukiangalia magufuli kwa makini utaona matatizo mengi sana.
   
 14. Jigsaw

  Jigsaw JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2015
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,818
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Jamaa ni sawa na Nazi koroma.. Haifai kwa kunywa maji wala kwa kutengenezea tui. Ni bora angekuwa Dafu japo tukapata maji ya kunjwa. Kwanza hizi kampeni zake zinaendelea kutuletea umaskini kwani hawezi kupata Urais.
   
 15. n

  nkongu ndasu JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2015
  Joined: Jan 19, 2013
  Messages: 22,520
  Likes Received: 3,764
  Trophy Points: 280
  ahadi nyingi za maghufuli ni ulaghai mtupu. kwa mfano anahaidi kupunguza bei za vifaa vya ujenzi kama bati na simenti wakati ni ahadi ya cdm mwaka 2010 ambayo ccm hiyohiyo iliikataa...
   
 16. Super Sub Steve

  Super Sub Steve JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2017
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 10,717
  Likes Received: 3,148
  Trophy Points: 280
  Mkuu unafaa kuwa mtabiri
   
 17. Super Sub Steve

  Super Sub Steve JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2017
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 10,717
  Likes Received: 3,148
  Trophy Points: 280
  Ndicho kinachotokea sasa
   
 18. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2017
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 2,649
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Leo naona makaburi mengi yapo wazi
   
 19. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #19
  Oct 6, 2017
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,961
  Likes Received: 1,420
  Trophy Points: 280
  Utabiri mbaya kabisa ambao haupendezi mbele za kina fnenge!
  Ingekuwa zimesemwa sasa zinapimisha mkojo wa mtu mzima!!
   
 20. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2017
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,961
  Likes Received: 1,420
  Trophy Points: 280
  Yatafukuliwa sana maana ni kukumbushana tu vinginevyo ni uchochezi
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...