Hotuba ya Zitto Bungeni, TBC na Startv hawatairusha Live | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya Zitto Bungeni, TBC na Startv hawatairusha Live

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAMA POROJO, Jun 8, 2011.

 1. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mwaka jana wakati kambi ya upinzani bungeni inawasilisha budget yake, TBC na Startv walikatisha matangazo ya moja kwa moja, baadaye spika alitoa sababu kuwa kulikuwepo na matatizo ya kiufundi.

  Mwaka huu tena matangazo yatakatishwa, Zito atakapoanza kusoma hotuba ya budget ya kambi ya upinzani bungeni.
   
 2. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mwaka huu hatutakubali. Wakishindwa kutoa live tutawalazimisha warekodi na kuonyesha hotuba hiyo katika kipindi maalum.
   
 3. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  nimependa hisia zako ila siamini kama sauti yako inawafikia kiasi kwamba uwalazimishe ukipendacho wewe kama wao hawakitaki.Tuombe isitokee hivo kwani napenda kumsikia live Mbunge wangu Rais mtarajiwa wa nchi hii atakaye kuja kumkomboa mtanganyika
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  mwaka huu chini ya makinda tutaambulia kuambiwa umeme ulikatila
   
 5. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,530
  Likes Received: 5,675
  Trophy Points: 280
  Kweli aisee! Alafu wakuu kuna mtu amenipigia na kuniambia ameona bajeti ya kenya ina maelezo mafupi sana kulinganisha na yetu nikajiuliza ina maana bajeti yao ipo shallow? Au maelezo meeengi mbwembwe tu! Upo umuhimu wa kuangalia namna ya kuainisha vitu vya msingi kwenye bajeti
   
 6. z

  zamlock JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  hivi itasomwa lini? Niambie siku hiyo hata nyumbami nisitoke
   
 7. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  mwaka huu ndio atuna chetu kabisa, afadhali sita alikua kada wa ccj, huyu makinda wakijani kabisa!
   
 8. b

  bia JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naumia cna je itv,capital,na atn,why wasirushe,waache kujikomba kwa govt bnaa!itv na capital do smthn na kama kuna vikwako wekeni wazi
   
 9. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nawaarifu in advance kuwa TBC jenereta yao itaharibika hotuba itakapoanza tu, na Star TV mashine yao ya kuchanganyia picha itaharibika. Ila baada ya hotuba kuisha jenereta itakuwa imepona na mashine ya Star itapona wakati Zito anatoa shukrani mwishoni mwa hotuba yake na kipengere kile muhimu kisemacho ASANTENI KWA KUNISIKILIZA NA NAOMBA KUTOA HOJA.
   
 10. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  hilo ni possible na washaanza mbona ktk mahojiano na wabunge ktk kipindi cha jambo leo TBC wabunge wa CDM hawaitwi yani ni CUf NA NCCR Au ndo kampeni za magamba dhidi ya wasemakweli wa CDM?
   
 11. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Teh teh heh heh hapo kwenye red ni mepa love
   
 12. p

  politiki JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Jamani tunaomba sana kwenye access na hotuba ya mheshimiwa zitto kabwe alipowasilisha budget ya mbadala aitume hapa na kama tukipata video ndiyo itakuwa mswano kabisa please tunaomba sana.
   
 13. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Hili nalo neno!!
   
 14. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usihofu weka muda kama hawatatukatia umeme nitairekodi na kuibandika kunasehem huwa nachakachuwa matukio live kama ulisha funga dish uni pm nitakumwagia data
   
 15. JOHN MADIBA

  JOHN MADIBA JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwaka jana walizima mitambo ili isirushwe live bajeti ya kambi ya upinzani wakasema kunaitilafu mwaka huu watasema umeme wa mgao labda. Tbs na star tv acheni mchezzo mchafuuuu, uwazi na ukweli.
   
 16. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mwaka huu ngoja tuwasikilizie. Zitto Kabwe JEMBE LETU LITAFANYA VYEMA.
   
 17. d

  dicaprio Member

  #17
  Jun 9, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nchi yetu inapelekwa kana kwamba wa tz wote ni vipofu, sawa basi wote ni vipofu kwa mtazamo wa viongozi wetu. Ieleweke kwamba somo la CAUSALITY halijasomwa na 95% ya hao viongozi. matukio tunayoyaona sasa ni majibu au madudu yaliyofanywa siku za nyuma na watu tunaowafahamu. Kuzuia taarifa kuwafikia wananchi ni tendo la mpito tu, hatimaye mwanga utaonekana.
  Nilikuwa naenda Holili kibiashara nikaona magari mengi marefu yakisubiri kupakia mahindi anayoanikwa (huenda yalivuna machanga) , magari ni mengi na hakuna anayeshtuka ila tunaambiwa mbeleni kuna njaa. Sina uelewa kama wakuu wa mikoa hii ya Kilimanjaro Arusha na Tanga wanaelewa jambo hili , ingawa mapolisi wanapita na patrol zisizokuwa na sababu (upotevu wa mafuta na muda wa askari). Nawaomba basi wakuu wa wilaya katika eneo hili washughulike ingawa mahindi yaliyovuka ni mengi , wanusuru angalau kiduchu. Hata hili wanadhani wananchi hawalioni?
   
 18. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Wenye hati miliki ya kutangaza mikutano ya bunge ni TBC na Startv peke yake. Tv zingine kama wanataka kutangaza mikutano ya bunge wanaomba hao wenye hati miliki kuunganishwa nje ya ukumbi wa bunge.
   
 19. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,322
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Tulimwomba bosi wetu jana ili atuletee TV offisini na amefanya hivyo lakini naona kimya, hii television ya Gamba (TBC) na Star tv hawaonyeshi, je Bunge linaendelea???????
   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Kenya wako ahead of us in every front..Uhuru Kenyatta ana akili sana sio sawa na hili pakacha letu hapa....masaa 3 jana anasoma mikorokocho hata haina maana...ovyo kabisa
   
Loading...