Hotuba ya Waziri Wa Michezo

Gigo

JF-Expert Member
Aug 6, 2006
456
46
Ndugu Wananchi...
Napenda Kuchukua Nafasi hii Kuwatoa majonzi Makubwa !! Yalio Tukumba!! Lakini Ina weza Ikawa sio Majonzi Bali Ni kama Jambo la kushangaza...Pamoja na kwamba Msumbiji Ime tu kwamisha Kwa goli moja tu,- Lililo tufanya tushindwe Kuendelea na furaha yetu Ya ushindi wa kushangaza-Kama.....Dream come true!!..-

Ilikua kama bahati wakati fulani,-Lakini Nafikiri ilikua kazi vile vile- Kama Unafikiria Ilikua bahati basi Na wewe Bahatisha!!.

Kushindwa Kwa Tanzania Ilikua furaha na bahati kwa Watoto wa wana
michezo wa msumbiji Kusomeshwa Bure!! tena maisha yao yote- Ahadi ambayo- Kama si-kosei I tolewa na Serikali ya Msumbiji!!

Sasa Sijui Kama Ni kweli!! Ahadi imetimizwa...? Kama Bado Inatakiwa Tuishinikize serikali ya msumbiji Ifanye Hivyo..tena haraka sana!!..

Sidhani kama sisi wote tuli huzunika sana!! kwa sa babu Kushindwa kwetu ndio ilikua furaha yao..Kama sisi tulivyokua tuna furahi...

Tuwe wavumilivu..!!Lakini Tutumie Muda wetu vizuri..Tufanye kazi Japo Naona Hapa waziri wa Kazi na Vijana Ana ona Nina Muingilia...Lakini sisi sote tupo pamoja..Hata Jamaa wa usalama Naona wana shangaa...sorry!! Nani waziri wa ELIMU na UFUNDI STADI ana shaangaa hizi studies...ha! Ha! ha!

Ndugu wananchi....he!he!..!

Ok! Mpira sasa Una taka Ufahamu Mkubwa sana!! Mara Nyingine Tuta kua tuna chagua wapi tushinde Kwanza..Kwenye Michezo Tumefanya Kitu kizuri kwa muda mfupi sana...Na penda Ni Mpe Hongera sana Mhe Jakaya Mrisho Kikwete..Kwa Ujasiri wake...Kweli kabisa ameonyesha wazi Ndoto zake...!! Nitakua sina maana Kama Niki Onyesha Tabia Ya kutaka Kumsahau Mhe Mzee Mkapa!!

Bora Ni Msahau Mheshimiwa Yusufu Makamba Kuliko Nishindwe Kutoa Salamu zangu kwa Mzee Mwinyi..Japo shamba Lake Lakule Dodoma amelitelekeza!! bora ange muuzia Makamba alime...

Mwisho kabisa Napenda Niwapongeze WAPINZANI-wana jitahidi!! Labda!!
 
Back
Top Bottom