Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,667
- 149,839
Kesho ndio Hotuba ya Waziri wa Fedha inatarajiwa kusomwa Bungeni.Swali ni je,hotuba hiyo haitosomwa live?Haiwezekani kweli mtu akatoa hoja hotuba hiyo isomwe live na kisha Bunge zima likaunga mkoni hoja hiyo?Naibu Spika hawezi kupeleka hoja hiyo,kwenye Kamati ya Bunge ya Kinga,Haki na Madaraka ya Bunge kwa ajili ya mashauriano kabla ya kuitolea maamuzi?
Haya ni maswali ninayojiuliza maana sitaki kuamini kabisa kama Bajeti hii haitasomwa live.
Nini huwa kinashindikana Bongo?
Haya ni maswali ninayojiuliza maana sitaki kuamini kabisa kama Bajeti hii haitasomwa live.
Nini huwa kinashindikana Bongo?