Mr.Professional
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,582
- 258
Nakerwa na watu kuhama key kila siku tumeshamjua FF ni mtu wa aina gani kwani tuendelee kujibishana naye dawa ni kumkalia kimya anachofanya ni kututoa ktk hoja ya msingi ili tuache kuona uozo wa ccm na serikali yake. Turudi kwenye mada na tumdharau FF na hoja zake za kutupotezea muda.