Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 16,451
- 40,943
Ndugai ni mtu duni. Siyo duni kimaumbile bali kifikra. Hakuna chochote cha maana cha kukumbukwa atakachokiacha kwa Taifa. Kwa familia yake ataacha aibu ya watoto kuwa na mzazi asiye na uwezo wa kusimamia chochote.
Kama kuna udhaifu wa hotuba, serikali na yeye wangejibu kwa kuonesha huo udhaifu na sio kuzuoa kusomwa hotuba.
Kama kuna udhaifu wa hotuba, serikali na yeye wangejibu kwa kuonesha huo udhaifu na sio kuzuoa kusomwa hotuba.