Hotuba ya Upinzani iliyozuiwa Bungeni leo Aprili 01, 2020 hii hapa (Full Text)

Nimeisoma yote, lakini;

1. Sijaona "makosa yoyote ya kiundishi" kama anavyodai Spika isipokuwa naona hotuba yenye hoja zenye nguvu kuliko kawaida...!!

2. Sijaona chochote, popote kinachoitwa "matusi" na Spika Ndugai....!!

NADHANI, ninachokiona ndani ya hotuba hii na ambacho kimemshtua Spika Ndugai, basi si kingine, bali ni UKWELI uliowasilishwa na KUB ambao kama hotuba hii ingesomwa ingeendelea kuivua nguo serikali ya CCM na Rais Magufuli na obviousily ndiyo ingetawala mjadala wa bajeti badala ya PM - Majaliwa Kassimu Majaliwa.....

Na kingine ambacho kimemkwaza huyu Spika na kuamua kushusha rungu hili ni kutajwa kwa udhaifu was bunge la 11 chini yake Ndugayi. Na kiukweli kagongwa kwelikweli.....!!

Sasa kuondoà aibu hii, jamaa katumia mamlaka yake kushusha nyundo kwa kutoa sababu ambazo kiuhalisia hazipo na kuweka mpira kwapani na kukimbia game....!!!

Pole sana ndugu Job Ndugayi!!
 
Un
Unaposema kuibua hoja mbali mbali unamaanisha nini? Kub anapojibu hotuba ya bajeti ya PM ndio ndio masuala mbalimbali ambayo hayakutekelezwa yataibuliwa.Na hata hii bajeti mpya 2020-2021 mapendekezo yake yalitakiwa yajibiwe kulingana na PM alivyopendekeza.
Sasa habari ya kurekebisha katiba,mara tulipigwa kidogo tufe mara kuna ukiukwaji wa haki za binadamu, yanatokea wapi?
Subject matter ilikuwa mapebdekezo ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu.
Unashindwa kuelewa kuwa waziri mkuu ndiye mtendaji mkuu wa serikali bungeni!So mambi yote hayo waziri mkuu anapaswa kuyatolea majibu!Sio lazima akubaliane nayo,akili zenu sijui ni za wapi?
 
Sidhani kama una nafuu nilizo nazo. Anyway, kama ndo sisi haina taabu tutaendelea kukataa upumbavu wenu humu jf na mitaani; nanyi muendelee kupoza hasira humu jf maana hamna namna njingine.
Nasi tunajitolea kupinga upumbavu wenu popote pale!
 
Unashindwa kuelewa kuwa waziri mkuu ndiye mtendaji mkuu wa serikali bungeni!So mambi yote hayo waziri mkuu anapaswa kuyatolea majibu!Sio lazima akubaliane nayo,akili zenu sijui ni za wapi?
Tofautisha maswali ya papo kwa hapo na ishu ya bajeti. Bajeti ni makadirio ya matumizi ya ofisi waziri mkuu 2020-2021. Kwa ishu ya leo ishu ilikuwa ni bajeti. Hivi Cdm hamna watu walionda shule hata kiasi cha form four?
 
Katika hali isiyokuwa yakawaida Spika amezuia hotuba ya msemaji mkuu wa kambi ya upinzani bungeni
Spika amesema hotuba hiyo imejaa upotoshaji

Spika ndugai amesema...

Hotuba hii ya Kambi Rasmi ya Upinzani imejaa makosa karibia kila ukurasa, ina matumizi mabaya sana ya jina la Mhe. Rais na kulituhumu Bunge la 11. Nadhani wangeshirikiana kuiandika pamoja isingefika hapa, mimi siko hapa kutetea chochote.

Kulifanya Bunge kuwa mahala pa uzushi haifai, kwa hiyo kwa mamlaka niliyonayo, sitaruhusu hotuba ya Kambi ya Upinzani kusomwa Bungeni kwa sababu inavunja kanuni kadhaa na hotuba zinazokuja huko mbele zikiwa za aina hii itakuwa hivyo hivyo.


The Brained washed Speaker by Jiwe.....!!!MaJitu Kama haya siku yakiondoka madarakani yanatakiwa kutiwa pingu na kupelekea Mahakama ya Kimataifa ICC...!
 
Ndo maana nimekuuliza kasema makosa yapi? Maana mimemsikiliza Ndugai kasema makosa tu hajayainisha

Huu ndo ujinga na upuuxi wa Serikali hii ya A5 alio uanisha Kiongozi wa KUB kwene Hotuba yake. Kwa Serikali inayofuata mfumo wa Multipartism HAIWEZEKANI HOTUBA YOTE ya KUB ikawa ni mbovu..,.. !!Hizi ni mbinu za kunyamazisha hoja za KUB Bungeni kiaina.. !!!
 
Tofautisha maswali ya papo kwa hapo na ishu ya bajeti. Bajeti ni makadirio ya matumizi ya ofisi waziri mkuu 2020-2021. Kwa ishu ya leo ishu ilikuwa ni bajeti. Hivi Cdm hamna watu walionda shule hata kiasi cha form four?
Inaonekana ni mwaka huu tu ndio umeanza kufuatilia hotuba za kambi rasmi na ni mgeni kwenye shughuli za kibunge za wapinzani!Pamoja na kujadili figures za kibajeti,mambo ya kiutawala huwa ni sehemu ya mjadala katika bajeti!Bajeti inayopitishwa inaenda kusimamia utawala bora,maadili ya viongozi nk!Sasa kama kuna mapungufu lazima yaelezwe ili katika majumuisho waziri mkuu aeleze wamejipangaje kutokana na hoja zilizotolewa!
Ungekuwa unafuatilia bunge miaka yote,usingekuwa mgeni wa haya!Hata ndugai anajua ila sema anaogopa kumchukiza Jiwe kama angeruhusu isomwe!
 
Bunge letu halijawahi kuwa na spika boya kama huyu.

Nasikia jamaa ni Mwanataaluma wa kuhudumia Wanyama Pori kwenye mazoo,...!!!!
Ndo maana akili yake saa zote imekaa kinyamanyama tu kiasi cha kuwaona Wabunge Wote wa Upinzani kama Wanyama....!!!Kazi kwerkweri!
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom