Hotuba ya Upinzani iliyozuiwa Bungeni leo Aprili 01, 2020 hii hapa (Full Text)

Mathayo : Mlango 12
34 Enyi wazao wa nyoka, mwawezaje kunena mema, mkiwa wabaya? Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake.
 
Mtu mpumbavu, akiambiwa ukweli kwamba yeye ni "mpumbavu" ni lazima tu atawaka na ama kurusha ngumi.
Hilo ndilo kambi rasmi ya upinzani bungeni wamefanya.
Na hayo yaliyotokea ni alama wazi kwamba ujumbe umefika kunako mfupa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1585761907488.png
 
Stawisheni kwanza CHADEMA kama mnao uwezo wa kustawisha nchi.
Siku zijazo itabidi mfanye maamuzi magumu muokoe chama nchi Ife Kama Zimbabwe , au muokoe nchi chama kife Kama KANU ya kenya siku hizo zinakuja
 
Un
Unaposema kuibua hoja mbali mbali unamaanisha nini? Kub anapojibu hotuba ya bajeti ya PM ndio ndio masuala mbalimbali ambayo hayakutekelezwa yataibuliwa.Na hata hii bajeti mpya 2020-2021 mapendekezo yake yalitakiwa yajibiwe kulingana na PM alivyopendekeza.
Sasa habari ya kurekebisha katiba,mara tulipigwa kidogo tufe mara kuna ukiukwaji wa haki za binadamu, yanatokea wapi?
Subject matter ilikuwa mapebdekezo ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu.
Kwa ujinga wako huu, unafaa kuwa mshauri wa jiwe.
 
Back
Top Bottom