Hotuba ya Upinzani iliyozuiwa Bungeni leo Aprili 01, 2020 hii hapa (Full Text)

Umeanza kwa moto sana bwashee. Tulia soma ramani kwanza.

Kulikuwa na kina Jingalao, Kawe alumni, Wiliam Malecela na wengineo walikuwa na moto kuliko wewe saa hizi wamepoa sana. Nafsi zao zinawasuta

Nenda taratibu mkuu, kuna maisha zaidi ya siasa na unafiki.
 
Odhiambo cairo,
Bunge linaendeshwa kwa kanuni na taratibu, waziri mkuu ametoa mapendekezo ya bajeti yake,Kub alitakiwa akosoe kama ina mapungufu au la. Alitaliwa akosoe hata mapungufu ya 2019-2020.

Sio kuleta habari za tulipigwa wakati sisi ni wabunge,mara Kub hana nyumba na ananyanyaswa,mara Mh Tundu Lissu bado anadai mshahara,mara CAG aliteleza n.k. Subject matter ilikuwa bajeti ya waziri mkuu,Kub alitakiwa akosoe kama ina mapungufu.
 
Salary Slip,
Naunga mkono pendekezo.

Kuna bunge kubwa zaidi huku nje zaidi ya hilo lililopo Dodoma, ambalo kwa kila namna linaonekana ni Bunge la Chama kimoja.

Ukweli ni kwamba hawa wabunge wa upinzani walitakiwa wawe walishaunda mfumo mbadala wa kufikisha mawazo yao kwa wananchi kwa njia nyingine zaidi ya hilo Bunge bandia.
 
Bunge linaendeshwa kwa kanuni na taratibu, waziri mkuu ametoa mapendekezo ya bajeti yake,Kub alitakiwa akosoe kama ina mapungufu au la. Alitaliwa akosoe hata mapungufu ya 2019-2020.Sio kuleta habari za tulipigwa wakati sisi ni wabunge,mara Kub hana nyumba na ananyanyaswa,mara Mh Tundu Lissu bado anadai mshahara,mara CAG aliteleza n.k. Subject matter ilikuwa bajeti ya waziri mkuu,Kub alitakiwa akosoe kama ina mapungufu.
Bunge hili linaendeshwa kwa matakwa ya bwege mmoja hivi anatokea huko burigi.
 
Wabunge na akili zenu timamu mnakula pesa za walipa kodi alafu mnaenda bungeni kutoa hotuba iliyojaa uzushi.
Mnazunguka na kamati za bunge mnakula posho za bure,badala mjibu hotuba ya bajeti ya waziri mkuu, Kub analeta habari zingine kabisa.
Kwamba mlikula virungu au Kub hana nyumba na mshahara wa Tundu Lissu unahusika vipi?
Muwe mnajibu subject matter acheni kupoteza muda.
Hizo ndizo gharama za kumkabidhi uongozi mpumbavu.
 
Asante sana kwa kuiwasilisha hapa. Mungu awazifishie upofu wanaokataa maarifa.
 
Naunga mkono pendekezo.

Kuna bunge kubwa zaidi huku nje zaidi ya hilo lililopo Dodoma, ambalo kwa kila namna linaonekana ni Bunge la Chama kimoja.

Ukweli ni kwamba hawa wabunge wa upinzani walitakiwa wawe walishaunda mfumo mbadala wa kufikisha mawazo yao kwa wananchi kwa njia nyingine zaidi ya hilo Bunge bandia.
Uko sahihi na nakuhakikishia kwamba CHADEMA imejiandaa kwa hilo na tuliyajua hayo mapema na utaanza kuona hotuba zetu mitandaoni bila shaka yoyote

Stay tuned
 
Umeanza kwa moto sana bwashee. Tulia soma ramani kwanza.

Kulikuwa na kina Jingalao, Wiliam Malecela na wengineo walikuwa na moto kuliko wewe saa hizi wamepoa sana. Nafsi zao zinawasuta

Nenda taratibu mkuu, kuna maisha zaidi ya siasa na unafiki.
Huyu ni mdau humu humu kaamua kubadili ID baada ya kupoteza mvuto kwa wanaJF!
 
Back
Top Bottom