Hotuba ya Taifa haiwezi kuwa na maneno ya vijiweni, CHADEMA hakina presidential material kabisa

Kulikuwa na matatizo makubwa katika uongozi wa JPM ambayo yameacha kumbukumbu mbaya juu yake. Mbona viongozi wengi wametangulia mbele za haki hapa nchini na wala hawasemwi vibaya!?

Hatusikii neno "mwendazake" likitumika kwa msisitizo na kwa kujirudia mara kwa mara kwa viongozi kama Nyerere, Mkapa ama Karume, mbona ni yeye tu ambaye limekuwa ndiyo kama alama ya utambulisho wake?

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Wauaji wako hai , dhamira zao zinapambana kujisafisha kama kaini na Abel.
Hivyo kilio cha damu ya JPM kimefika machoni pa Mungu. Acha wajitetee, acha wakimbizane kufukua madhambi yao.
 
umeambiwa hotuba kwa taifa, ulisikia wapi Lisu anasema kuna special audience imeandaliwa kupokea hiyo hotuba?

Taifa ni wazee, vijana na watoto, sasa sijui alilenga kundi gani pasipo kutoa taarifa ili sisi tusiohitahi lugha za kihuni tusimsikilize
Kama wewe siyo mzee, kijana au mtoto Kama ulivyodai basi hotuba ya Lissu haikuhusu kwani kundi lako halijulikani!
Taifa ni nini? Mbona Kama Kuna mengi huyajui na unalazimisha ueleweke?
Kasome fasihi dogo acha vurugu! Jamii inao watu wanaofikiri positive na wengine negative na pia wapo wengine ni neutral hawana upande! Taifa limejengwa kwenye misingi hiyo kwani haiwezekani wote wakawa watu wa ndiyo au hapana au sijui!!
Hotuba ya Lissu imenyooka isome ukiwa na clean mind utaielewa kwani imepitch watu wa aina zote katika taifa na ndio maana ikaitwa hotuba ya taifa ya kuuaga na kuukaribisha mwaka! Au unataka tuamini Ile ya bi mkubwa ya akiba ya taifa kuwa na dollar za marekani bilioni elfu sita? Be serious kidogo hapa jf!
 
Kiumri, kipesa, kielimu na kimamlaka wewe huniwezi! huku ulikokimbilia nitafurusha mapema sana

endelea kulialia maisha magumu sie wengine tunakula na kusheherekea sikukuu ya mwaka mpya
Huna pesa, wenyepesa tunahangaika na BHQI
Kwa wenye Elimu, ungelikuwa unakuna kichwa kutoboa code za omicron valiant.
Labda umri ndiyo tatizo.
Fanya kazi acha majigambo.
 
Wakuu
jana nilifuatilia hotuba zilizokuwa zinaitwa hotuba za Taifa zote mbili, lakini ukweli ni kwamba hotuba ya taifa ilikuwa ni moja tu kutoka kwa rais wa Samia Suluhu

napenda kuwakumbusha wanachadema kuwa bado safari ndefu sana mnayo kufikia level ya kutoa hotuba kwa taifa

hotuba ya taifa haiwezi jazwa maneno ya vijiweni kama
*mchongo
*uchafuzi mkuu
*Mamluki ya ccm

na maneno mengine mengi ya kukera

Je ile hotuba imemlenga mwananchi au viongozi wa ccm na serkali?
Kujibu swali laki, ile hotuba iligusa wananchi moja kwa moja. Kwa Mara ya kwanza namuona Mh Lissu anagusia issues za wananchi.
Kwanza amezungumzia mfumuko was Bei. Pili amezungumzia Deni la Taifa. Tatu amezungumzia ajira kwa vijana, hasa wanaomaliza vyuo na vyuo vikuu. Nne amezungumzia miradi mikubwa inayoendeshwa na serikali na kushauri serikali kwamba inakopa pesa nyingi na miradi haijulikani itaisha lini na gharama zake Ni zipi na huko mbeleni Kuna hatari ya Taifa kuelemewa, hivyo Mh Rais ajitahidi kufanya due diligence kuhusu economic significance Kama inafaida kiuchumi au la. Kama haina faida kiuchumi aachane nayo.
 
Huna pesa, wenyepesa tunahangaika na BHQI
Kwa wenye Elimu, ungelikuwa unakuna kichwa kutoboa code za omicron valiant.
Labda umri ndiyo tatizo.
Fanya kazi acha majigambo.
umedandia treni kwa mbele, piga kimya kijana
 
Kama wewe siyo mzee, kijana au mtoto Kama ulivyodai basi hotuba ya Lissu haikuhusu kwani kundi lako halijulikani!
Taifa ni nini? Mbona Kama Kuna mengi huyajui na unalazimisha ueleweke?
Kasome fasihi dogo acha vurugu! Jamii inao watu wanaofikiri positive na wengine negative na pia wapo wengine ni neutral hawana upande! Taifa limejengwa kwenye misingi hiyo kwani haiwezekani wote wakawa watu wa ndiyo au hapana au sijui!!
Hotuba ya Lissu imenyooka isome ukiwa na clean mind utaielewa kwani imepitch watu wa aina zote katika taifa na ndio maana ikaitwa hotuba ya taifa ya kuuaga na kuukaribisha mwaka! Au unataka tuamini Ile ya bi mkubwa ya akiba ya taifa kuwa na dollar za marekani bilioni elfu sita? Be serious kidogo hapa jf!
ufikiri wako uko chini sana
 
Chadema ni wapumbavu sana
Nadhani matusi hayasaidii. Kutukana CHADEMA ni wapumbafu wakati hawapo bungeni, na Wala hawakamati halmashauri zote na Wala hawana wenyekiti was vijiji. Mimi nadhani chama kinachoongoza bunge, chama kinachshikilia halmashauri zote kasoro moja na chenye wenyeviti asilimia 98 nchi nzima ndio ya kuionyoshea kidole na sio CHADEMA. Kumbuka Deni la Taifa limefika Trillion 82.
 
Kujibu swali laki, ile hotuba iligusa wananchi moja kwa moja. Kwa Mara ya kwanza namuona Mh Lissu anagusia issues za wananchi.
Kwanza amezungumzia mfumuko was Bei. Pili amezungumzia Deni la Taifa. Tatu amezungumzia ajira kwa vijana, hasa wanaomaliza vyuo na vyuo vikuu. Nne amezungumzia miradi mikubwa inayoendeshwa na serikali na kushauri serikali kwamba inakopa pesa nyingi na miradi haijulikani itaisha lini na gharama zake Ni zipi na huko mbeleni Kuna hatari ya Taifa kuelemewa, hivyo Mh Rais ajitahidi kufanya due diligence kuhusu economic significance Kama inafaida kiuchumi au la. Kama haina faida kiuchumi aachane nayo.
kwahiyo na wewe ulikubali kwamba SGR na stieglers gorge havina manufaa kwa nchi?
kama uliamini hivyo basi nawe pia hamnazo
 
Wakuu
jana nilifuatilia hotuba zilizokuwa zinaitwa hotuba za Taifa zote mbili, lakini ukweli ni kwamba hotuba ya taifa ilikuwa ni moja tu kutoka kwa rais wa Samia Suluhu

napenda kuwakumbusha wanachadema kuwa bado safari ndefu sana mnayo kufikia level ya kutoa hotuba kwa taifa

hotuba ya taifa haiwezi jazwa maneno ya vijiweni kama
*mchongo
*uchafuzi mkuu
*Mamluki ya ccm

na maneno mengine mengi ya kukera

Je ile hotuba imemlenga mwananchi au viongozi wa ccm na serkali?
Weye kinachokusumbua ni chuki tu uliyonayo kwa TAML.Hata angeongea kwa huruma,sautia laini na kukugawia hela bado ungenuna tu.
 
... nilipoona neno "mwendazake" nikaishia hapo, Lissu hakuagi (growing)
Sio kwa tamaduni za kiafrika tu hata wenzetu magharibi heshima kwa marehemu hawajawahi kuivunja!
Neno mwendazake lilitumika kuonesha historical context kwenye hotuba. Ingekuwa mbaya Kama angetumia jina Magufuri.Hotuba ilianza kwa kuelezea Mambo yaliyopita na ikamalizia na Mambo yaliyopo.

Halafu, kwani mtu akifa na Kuna Mambo kayafanya sio sahihi hairusiwi kusema unasema mazuri tu?. Kwa mfano jambazi mtaani kwetu ametutesa Sana kwa kutuvamia usiku na kututesa hivi akifa haturuhusiwi kuongelea mabaya yake aliyotutenda?.
 
chadema kweli inawanya usingizi mpaka mnaleta hoja za kuwadhalilisha viongozi, kuweni na busara katika kuleta hoja za kujadiliwa. Mnaudhi sana. Halafu baadae chadema wanatukana tuwe wastaarabu.
 
ufikiri wako uko chini sana
Poor perception that's why upo too judgemental! Mawazo na mtazamo wako hauwezi kuwa wa watu wote na ndipo mnaposhindwa ccm! Mpo very rigid and conservative mkiamini nchi hii ni Mali yenu milele na mawazo na mitazamo yenu ndiyo Bora kuliko ya wengine! Dunia ya sasa haihitaji hiyo Bali ushirikishwaji ili isonge kimaendeleo!
Isijekuwa namfundisha prof. Msukuma hapa?!
 
Lissu anatoa hotuba hata hajavuta bange zake.ndio maana ameropokaropoka tu.akivutaga anaongea vizuri
Naona Sasa kilichobaki a ni vijembe. Mimi ndio nimefunguliwa macho kwenye hotuba ya Lissu baada ya kugundua kumbe mkopo wetu una jumla ya riba trillion kumi. Na tayari Mh Rais ameshakopa Trillion 6 mpaka Sasa.
 
kwahiyo na wewe ulikubali kwamba SGR na stieglers gorge havina manufaa kwa nchi?
kama uliamini hivyo basi nawe pia hamnazo
Kwa hivyo anayekubaliana na wewe ndio ana akili?. Kama wewe una akili kuliko Mimi Tanzania ingekuwa haidaiwi hata Senti tano. Lakini nyie wenye akili mnadaiwa Trillion 82 na mnaona sawa tu.
 
Neno mwendazake lilitumika kuonesha historical context kwenye hotuba. Ingekuwa mbaya Kama angetumia jina Magufuri.Hotuba ilianza kwa kuelezea Mambo yaliyopita na ikamalizia na Mambo yaliyopo.

Halafu, kwani mtu akifa na Kuna Mambo kayafanya sio sahihi hairusiwi kusema unasema mazuri tu?. Kwa mfano jambazi mtaani kwetu ametutesa Sana kwa kutuvamia usiku na kututesa hivi akifa haturuhusiwi kuongelea mabaya yake aliyotutenda?.
kwa mtu mwenye status kama ya Lisu alishindwa nini kusema hayati magufuli?
 
Back
Top Bottom