Hotuba ya Shein Kukaribisha Mwaka mpya: Makes a lot of sense than... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya Shein Kukaribisha Mwaka mpya: Makes a lot of sense than...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rev. Kishoka, Jan 2, 2010.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  At least Shein has addressed without mincing words the problem facing Tanzania, moral decay!

  As per Per Daily News:

  Meanwhile, the Vice-President, Dr Ali Mohamed Shein, has urged religious dominations in the country to back the government's efforts in ensuring that the country is well governed with leaders of high integrity.

  He was officiating at the special congregation held on New Year's eve at the Uhuru Stadium in Dar es Salaam to welcome the New Year (2010) organized by the Community of Christian Churches.

  Dr Shein said the community and all religious followers should take the opportunity to brainstorm on all matters that occurred last year and hope for the brighter future.

  The Vice-President said that the country witnessed many incidents of moral decay last year, that almost tarnished the good image of the country. He called for the religious community to play a leading role in reversing the trend.

  "We have a lot of challenges ahead, including the crucial task of fighting corruption, especially as we head for the general elections late this year.

  Religious communities should make sure that politicians do not use religious lines to attain their political ambitions," he said.

  Dr Shein challenged political parties to prepare well for general elections by presenting their manifestos, instead of abusing each other to attract more followers.

  He called for maximum solidarity among Tanzanians this year, saying that the government would make sure all steps are taken to have a peaceful process towards the general elections.

  The Chairman of the congregation, Bishop Godfrey Malasi, said religious denominations had the obligation to assist the government face its challenges, especially in respect of good governance.

  "While the government remains with an obligation of ensuring good governance, religious denominations and all followers should always assist it to effect it," he said.

  At the St Joseph Cathedral, the Archbishop of Dar es Salaam Archdiocese, Polycarp Cardinal Pengo, officiated at the special mass to welcome the New Year by calling on Tanzanians to avoid selfishness.

  He was bitter with people increasingly being selfish with few members of public accumulating wealth and enjoying the cake of the country while the majority was suffering.

  The country is extremely worried as our national peace is at the crossroads, if these differences are not dealt with. Let us get rid of this poisonous element and look for a brighter new year," he pointed out.

  Cardinal Pengo urged leaders aspiring to contest various political posts in the country to stop cheating people by using religious propaganda. He described such approach as dangerous to the national peace and harmony.
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Robert Ouko alipewa shubiri baada ya kumzidi kete Moi safarini Marekani. Hii maneno italeta maneno mchungaji
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Jan 3, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Well, naona unataka kulinganisha watu wawili tofauti hata kama ndio viongozi wa juu wa serikali yetu: mmoja ni Mhe. DR. Kikwete (B.A.) na mwingine ni Mhe. Dr. Shein (Ph.D).
   
 4. m

  mzanganyika JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 257
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Asante mchungaji.

  Ninaamini nyinyi wachungaji na mashehe muna nafasi kubwa na opportunity ya kutusaidia kusafisha hii nchi.

  Kama waumini wakiwa na sauti ya pamoja kupinga ufisadi tutapika hatua na wanasiasa mafisadi tutawapunguza.
   
 5. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  At least huyu ni wa kwanza ndani ya CCM kukiri kuna rushwa na mafisadi!


  DK Shein ataka mafisadi watoswe uchaguzi mkuu mwakani

  Geofrey Nyang'oro

  TANGU kuanza kwa mjadala wa vita dhidi ya ufisadi, makamu wa rais, DK Ali Mohammed Shein amekuwa kimya, lakini jana aliamua kufungua mdomo na kuwataka wananchi watumie haki yao ya kupiga kura kuzuia mafisadi kushika uongozi.

  Dk Shein, ambaye si mzungumzaji sana hasa kwenye masuala yenye utata kama ufisadi, alizungumzia tatizo hilo wakati alipohutubia kwenye ibada ya mkesha wa Mwaka Mpya uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam, lakini hakutumia neno ufisadi.

  "Rushwa ni adui wa haki kwa kuwa inaleta dhuluma, uhasama, inaongeza utengano miongoni mwa jamii na kusababisha umasikini. Adha mbalimbali zitokanazo na rushwa husabisha kuvunjika kwa amani na utulivu uliodumu kwa muda mrefu.

  "Sasa wakati serikali ikiwa na dhamira ya wazi ya kupambana na rushwa, wananchi wawe na dhamira ya kweli ya kuwakataa wagombea watakaojaribu kuiendeleza rushwa kwenye uchaguzi mkuu ujao,"alisema DK Sheina alisema rushwa kwenye uchaguzi ni hatari kwa kuwa itasababisha nchi kupata viongozi wasio na sifa na kulifanya taifa kutawaliwa na watu wasiokuwa na uwezo, jambo ambalo ni hatari kwa ustawi wa jamii.

  Alisisitiza rushwa inarudisha nyuma maendeleo ya nchi kwa kuwa viongozi wanaopatikana kwa jinsi hiyo, hawatakuwa na uwezo wa kupanga mipango ya maendeleo.

  Dk Shein aliwashukuru viongozi wa dini kwa kuandaa mkesha huo wa kitaifa na kuliombea taifa kudumisha umoja amani na utulivu na kuwataka waendelee kuwahimiza waumini kuliombea taifa.

  Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika mkesha huo, viongozi mbalimbali walisema, umaskini nchini unatokana na uroho wa madaraka na uchoyo wa viongozi.

  Deo Lubali, ambaye aliongoza sala kwenye mkesha huo, aliwataka Watanzania kutobweteka na kuamini kuwa Tanzania ni maskini, badala yake aliwaambia umma kuwa viongozi ni chanzo kikuu cha tatizo hilo.

  "Tanzania siyo masikini, tazama rasilimali zilizopo, ardhi zuri na yenye rutuba vyote hivi ni utajiri ambao Mungu ametupatia, lakini kutokana na ubinafisi wa baadhi ya viongozi hakuna kinachofanyika, tuunganishe nguvu zetu kumwomba Mungu atuongoze kupata viongozi bora wenye dhamira ya kweli ili kuliondoa taifa hili katika adha ya umasikini," alisema Lubala.

  Kutoka Serengeti mkoani Mara Anthony Mayunga anaripoti kuwa waumini wa Kanisa Katoliki wametakiwa kujiepusha na wagombea wanaowalaghai kwa chumvi na khanga badala yake watulie na kupima sera zao.

  Wito huo ulitolewa na Paroko Alois Magabe wa parokia ya Mtakatifu Fransisco wa Asizi alipokuwa akihubiri ibada ya mkesha wa mwaka mpya.

  Alisema mwaka huu ni wa uchaguzi mkuu hivyo watu wanatakiwa kuwa makini ili wachague kiongozi atakayetoa mwelekeo mzuri wa mustakabali wa Taifa katika kutunza amani na utulivu.

  "Epukeni zawadi kama chumvi, vitenge na vipesa watakavyowaletea hao wagombea badala yake wapimeni na hasa kuweni watulivu mjiepushe na makundi yanayoweza kuwakwaza na imani yenu iliyokomaa," alisema.

  Alisisitiza kuwa mwaka huu wautumie kujiletea mabadiliko ya kiroho na maendeleo yao, hivyo kila mmoja anatakiwa kutafakari kwa kina mwaka jana wapi alikwama ili aweze kufanya mageuzi.
   
 6. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  huyu jamaa in my opinion angelifaa awe rais halafu kikwete awe makamu. Nchi ingelikuwa katika mazingira bora kuliko ilivyo sasa. Kwasababu alikuwa wakati wa mkapa hivyo alikuwa anafahamu what is going on, pia sijawahi kumsikia na kashfa ya ufisadi.
   
 7. Mlango wa gunia

  Mlango wa gunia Senior Member

  #7
  Jan 3, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ninapata wasiwasi, kama aliyoyaona kabla hajaingia madarakani na tangu aingie madarakani hadi sasa,anayoyaona yanaendelea ameshindwa kutumia madaraka yake kuyazuia badala yake na yeye ameamua kuomba nguvu toka kwa wapiga kura.2me he kant b serious!
   
 8. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Hana kitu huyu, kazubaa kinoma. Kwani kafanya nini tangu awe makamu wa rais? Nchi iendeshwe na Shein? ooh NOOOO...hao mafisadi watatuchinja hadharani. Kutokuwa fisadi sio sifa pekee ya kumfanya mtu kuwa rais....kumbuka jamaa aliibuliwa alikokuwa na Mkapa kwa makusudi maalumu ya Mkapa....hakutaka mtu ambaye angeweza kuwa tishio kwake....kama alivyo muibua Sumaye from no where...kumbuka kibonge kabla ya kuibuliwa na Nyerere alikuwa si maarufu kabisa...alizidiwa na Keneth wa Yanga. Alilijua hili, hakutaka mtu wa kum"over shadow". Hivyo ndivyo bwana Shein alivyopatikana.
   
 9. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,508
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280

  Hivi kumbe Dr. Shein ni PhD holder. Nilifikiri ni Medical doctor!!!
   
 10. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kazi ya Makamu wa Rais ni kumsaidia rais. Hatakiwi kum' overshine" rais wake.
   
Loading...