Hotuba ya Rais, June 2012, live on TBC 1

huyu baba kanyimwa akili kweli ...khaaaa hivi anamdanganya nani na anamfanya nani mjinga? hovyo kabisa
 
Edson ...halafu imejaa uchonganishi...jk hajui tofauti ya MAT na chama chama cha madaktari[/QUOTE said:
Hiko kitu ni kimoja mkuu naamini ulidhamiria kuandika jumuiya ya madaktari.
 
Ndo hiyo2,hakuna tofauti!

Ileile iliyoko humu

Kweli hatuna rais

Inaonekana kuwa yenyewe,anasema vyombo vya usalama vimejitahidi kuzuia uhamiaji haramu.Anawashukuru wanakijiji wa Chitega kwa kuwajali wahanga wa uhamiaji


ndo hiyo hiyo hana jipya

It is exactly the same!!!!
Toauti ni kuwa ile tuliyokuwa nayo hapa haikuwa na sauti.
 
Hahaha hotuba imevuja. Doooohh..,.!!! Maneno ya Mnyika yame-prove true
 
Kesho utasikia watu wanaandamana mabarabarani kuunga mkono maelezo haya ya Kikwete...

Nikiwaona tu barabarani nitajua kweli pamoja na kuwa tuna tatizo la ulimbukeni, bado tatizo la ajira ni kubwa nchini
 
hotuba yake nimeisoma yote na nimeshawishika kuwa huyu kikwete yuko nyuma ya mpango mzima wa kumdhuru ulimboka hasa nikisoma aya ''hii Ni kweli kwamba yeye si mtumishi wa Serikali, hivyo hakustahili kuwa sehemu ya majadiliano haya. Kulikuwa na rai ya kutaka asiwepo, lakini nilisema wamuache maadam Madaktari wanamuamini kuwa anaweza kuwasemea vizuri zaidi kuliko wao wenyewe walioajiriwa na Serikali.Na, kuhusu mgomo, Mahakama Kuu imekwishatoa amri ya kusitisha mgomo. Anayekaidi amri ya Mahakama ananunua lugomvi na mhimili huo wa dola ambao wenyewe una mamlaka ya kumtia adabu mtu huyo. ''


...halafu imejaa uchonganishi...jk hajui tofauti ya MAT na chama chama cha madaktari
Jk hana analojua mkuuanafiiri vitisho ndio kutawala nchi kasahau kuwa watanzania wasasa sio wa miaka arobaini na saba ngoja ajidanganye mkuu aone sasa shughuli yake.
 
Toauti ni kuwa ile tuliyokuwa nayo hapa haikuwa na sauti.

reAl.... that is the only difference...

HOW COMES INAVUJA!
AU USALAMA WA TAIFA WAMEMCHOKA?

I salute JF tuna mpaka watu wa jikoni hapa. najiridhisha kwamba post zote humu ndani zinamfikia mkuu
I LOVE IT.
 
jk ana uhakika wakiacha wote atakuwa na mbadala wa madaktari wengine? au anatishia nyau? mbona hajamzungumzia mshikaji Abedi kuwa ni afisa wake hapo magogoni?
 
JK, Afunika!

Hizi ndio kauli tuzitakazo, anayeona mshahara haumtoshi atafute muajiri mwingine.
 
Anaongelea ishu mbili;

1.Uhamiaji haramu-hasa wale wa Ethiopia waliokufa Dodoma
2.Mgomo wa Madaktari

siyo live ni recorded.Jk yuko live rwanda.kwenye maadhimisho 50yrs ya nchi.Kama Pm alivyosema liwalo na liwe Jk kasema Dr asiyetaka kufanya kazi bila kutekelezewa madai yake aache kazi.
 
Ninaamini kama leo alikuwa live. Basi niliisoma hotuba yake kabla hata yeye hajaiona. Big up watu wa ikulu mlio tuvujishia speech
 
Back
Top Bottom