HOTUBA YA RAIS YA UZINDUZI WA KINYEREZI -2

maramia

JF-Expert Member
Jul 17, 2015
2,030
1,345
Sikuwa mwanzo nimeisikia hotuba ya mheshimiwa Rais, lakini kwa kuisikiliza hotuba yake katika kipindi cha marudio cha TBC usiku huu nimeridhika kwamba haikuwa na hata chembe ya ubaguzi kwa wapinzani kama waongo walivyokuwa wakitudanganya kwenye mitandao ya kijamii.

Hotuba ya Rais ilikuwa moja ya hotuba nzuri kabisa na hakuna mahali alipowasema vibaya wapinzani.

Naomba wapinzani msipende kumwekea maneno JPM muandaeni Lowassa wenu tuone mtakapofikishana.
 
Back
Top Bottom