Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) - Septemba 23, 2021

Niongee wapi sasa! Kajifunze kiingereza! Ndo mana mlikuwa mnakimbia mikutano ya kimataifa eti kubana matumizi wakati kumbe hamjui kiingereza! Washamba nyie
Hebu ongea hicho cha kwako ulichojifunza wakati unakunywa chimpumu tandale kwa mfuga mbwa......
 
Unahoji kiingereza changu, sikiliza chake Multilateralism anasema Multilateralilism.
Sijaelewa Hotuba Yake imebeba Falsafa gani kwa Ujumla? Sijasikia Tanzania ikiwasilishwa hapo kifikra zaidi ya mambo ya uwiano wa kijinsia na Corona! Hivi kweli Covid imetupiga sana Watanzania kulinganisha na hao Wazungu?
 
Niongee wapi sasa! Kajifunze kiingereza! Ndo mana mlikuwa mnakimbia mikutano ya kimataifa eti kubana matumizi wakati kumbe hamjui kiingereza! Washamba nyie
Sasa kuna kiingereza gani kimeongelewa hapo? kiingereza unakijua! wakati mwingine bora kukaa kimya tu.......
 
Sijaelewa Hotuba Yake imebeba Falsafa gani kwa Ujumla? Sijasikia Tanzania ikiwasilishwa hapo kifikra zaidi ya mambo ya uwino wa kijinsia na Corona! Hivi kweli Covid imetupiga sana Watanzania kulinganisha na hao Wazungu?
Unaelewa kiingereza kwanza? Tuanzie hapo?😂
 
..unafiki kitu mbaya Sana...huyu anakazia madhara ya covid-19 wakati yeye na serikali yake na mwendazake walikua wanaambia dunia kuwa tz hamna covid-19 ...alafu analinganisha kilichotokea tz wakati wa covid-19 Sawa na wengine wakati.si kweli...tz ilifanya mambo yake tofauti.kabisa na wengine duniani..Hadi kuombwa na dunia ( WHO) kuwa wabadilike...shame..
 
Mtu anaangalia muda wote eneo moja hata shingo hazungushi, mahaba mengine taabu sana.
Mama hawezi toa hotuba bila kusoma, never
Bora uongee Lugha unayoijua kuliko kulazimisha Lugha za watu ili uonekane. Watu walimcheka Magufuli lakini bora hakuwa mnafiki. Huyu anajifanya anakifahamu Kiingereza lakini kutunga Sentensi kichwani na kuitoa bila kuangalia mahali Ni mtihani
 
S

Mbona kaongea kiingereza Safi kabisa! We shida yako nini?

Au ndo Team pingapinga Fc?
 
Sasa maneno ya Pole pole yametimia yaani kuna mtu mwingine anayeendesha nchi na sio yeye.
 
S

Bora uongee Lugha unayoijua kuliko kulazimisha Lugha za watu ili uonekane. Watu walimcheka Magufuli lakini bora hakuwa mnafiki. Huyu anajifanya anakifahamu Kiingereza lakini kutunga Sentensi kichwani na kuitoa bila kuangalia mahali Ni mtihani
Bora umeongea mkuu maana wazee wa mapambio ni mapovu tu yanawatoka, hana fluency yoyote wala misamiati ambayo inaweza kuaminisha watu kwamba ana master hiyo lugha.......
 
Back
Top Bottom