Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,407
- 25,926
Magufuli was far much better than Samia when it comes to Public speaking regardless of how poor Magufuli was in grammarKamlete yule alikuwa anasema.....Pipo yuz tu dai in ze rake"
Magufuli was far much better than Samia when it comes to Public speaking regardless of how poor Magufuli was in grammarKamlete yule alikuwa anasema.....Pipo yuz tu dai in ze rake"
Hate wewe umemgeuka Lisu?Samia mpaka 2030 hutaki hamia Burundi
Kifaa hicho kinaitwa TELEPROMPTER ....Teknolojia imekupita mbali ndugu, anasoma hapo sema huwezi kuona. Wenzangu watakusaidia hicho kifaa kinaitwaje, mimi nimekisahau.
Nashangaa sielewi history ipi hapa? Mama anahitaji kufanya mazoezi sana huku nyumbani namna ya kutumia screen ya speech kuna viongozi wazoezi wakipanda hapo unaweza kudhani maneno yanatoka kichwani lakini wanasoma ni skills za ku master stage huwezi kushtuka kama wanasoma.Historia gani, ni utaratibu kila Rais huwa anahutubia Hilo Baraza
Ccm ni kama maji, usipoyaoga utayanywaSi hamchanji kutokana na ujinga wenu? Unataka awafunge kamba mkachanje? Mama 2025 nampa kura yangu ili kuwakomesha nyie wenye chuki nae zisizo na msingi japo siipendi CCM.
Akili yako inawalakiniMama anaongea muda huu live anavunja yai zuri sana. Kongole mheshimiwa hata hasomi mahali.
Na nchi tajiri vipiRais Samia: Janga la Uviko19 limerudisha nyuma uchumi wa nchi masikini.
Tanzania wengi ni wajinga na washabiki maandazi waliofungwa kifikra na kufunguliwa kishabiki bila kuelewa taratibu za kimataifa na mambo kama UNGA.Historia gani,ni utaratibu kila Rais huwa anahutubia Hilo Baraza
Huku ikifutika kitaifaRais wetu Mama Samia ametuwakilisha vyema, angalu sasa Tanzania inasomeka kimatifa.
Umejiona ulivyo mjinga?Hamna kituu... Speech lote limejaa COVID.. Au ndo ilikuwa Main Theme ya mkutano..!?
Mabeberu bhana. Yani yanafosi uongee yanachotaka wao....
Hotuba mbovu, hana confidence, analalamika tu, anajishaua kuwa mwanamke wa kwanza rais Tz huku akimponda Magu kwa gia ya Multilateralism. Eti ana-enhance gender equality kwa kuvunja miiko mingi kuwainua wanawake.katika hotuba za hovyo, hotuba za hovyo, ni hii katoa huyu mama leo. yaani utafikiri watoto wa form two wanafanya debate.
Amesema UN waondoe hatimiliki kwenye suala la chanjo ili hata nchi zinazoendelea ziweze kujitengenezea chanjo!Umepewa chanjo milioni 1 mpaka sasa waliochanjwa hawafiki hata laki 3. Alafu unaenda #UNGA kuiambia dunia unataka chanjo nyingine! Seriously!
Amelalamika nini?Hotuba mbovu, hana confidence, analalamika tu, anajishaua kuwa mwanamke wa kwanza rais Tz huku akimponda Magu kwa gia ya Multilateralism. Eti ana-enhance gender equality kwa kuvunja miiko mingi kuwainua wanawake.
Covid covid covid covid.....Not our case, may be malaria and HIV, she also lied to the World ..." We managed peace, political stability, vibrant democracy " She is empty with wrong misleading team.Our worst fears have been confirmed. That Good Lady is illiterate.
Tafuta nyumba Burundi mapemaHuyu mama hatorudi madarakani 2025, CCM wachague muungano au huyu mama.
HahahahaaOur worst fears have been confirmed. That Good Lady is illiterate.