Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,279
- 92,337
Unajidanganya nafsi yako bure, huyu ndio Amiri jeshi mkuu na pia ndio mwenyekiti wa ccm.Huyu mama hatorudi madarakani 2025, CCM wachague muungano au huyu mama.
Si vizuri kwa mtu mwenye akili timamu kujidanganya mwenyewe.
Ni ugonjwa au kifo tu ndio kinaweza kumuweka mama pembeni kutokuwa Rais mpaka 2030.