Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,710
- 93,455
Tetetete jamaa wajanja hawakati line ya Ikulu pekeeMjulisheni TANESCO yake wamekata umeme maeneo muhimu hivyo ahutubie kesho.
Tetetete jamaa wajanja hawakati line ya Ikulu pekeeMjulisheni TANESCO yake wamekata umeme maeneo muhimu hivyo ahutubie kesho.
Machozi ya Mbowe yanamtafuna kupita kiasiHaya tupe mrejesho wa ulichokuwa unasubiri, Je ndio ule utambulisho au kuna kingine?
Na takwimu nyingi za kupikwa! Ajira wanasema zipo 35m, nchi yenye watu 60m. Wamesahau 50% ya wananchi huwa ni watoto!Takwimu zile zile za kila mwaka kila ikifika siku ya Uhuru. Hakuna hotuba ya maana, ni marudio yale yale ya kila mwaka na kila siku.
kenge sasa hawa ndio viongozi mjinga soma kama huwezi nenda Google watu wanasherehekea 50 years.Wewe ni kenge kama kenge wengine hunyui hata maana ya jubileee.