OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,185
- 103,690
Kwa hiyo hili bunge linamwakilisha nani
Atakuwa kala, atalipa siku nyingineMama yetu swaumu imembana naona anachapia kweli...
Mama yetu swaumu imembana naona anachapia kweli...
kwa hiyo hili bunge linamwakilisha nani
Zinachosha sana aisee.Naona shukurani tu zinaendelea
LEO NAONA MAMA HAYUPO KWENYE FOMU, PUMZI ZIPO JUU.
AU NDIO SWAUMU
Naomba wabunge waache vigelegele na mapambio kama maroboti. Wasikilize hotuba kwa utulivu
She might be Nervous that's why...
Watu mill 60+ wanamsikiliza