Bushesha jr
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 677
- 690
Tanzania tuna bahati kubwa sana huyu ndiye Rais bora kbs Chadema mkiendelea kuukataa ukweli huu mtapotea kabisa katika ramani ya siasa
Mkuu walipimwa mpaka kondoo na mbuzi.Hii ya kupima mapapai
Habari bila picha ni sawa na polojo tuHaya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.
Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na timu ya Dr Magufuli.
Baadhi ya watu kutoka China na India wameomba hotuba hiyo itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao ili ikawanufaishe watu wengi zaidi katika nchi zao.
Mjini Mombasa, Kenya hotuba hiyo ya Rais Magufuli imezuwa gumzo kubwa na wengi wamekubaliana na Rais Magufuli juu ya wasiwasi wa ubora wa vifas.
Mombasa wanaingia katika zoezi la mass testing lakini wananchi wanataka waelimishwe zaidi kabla ya kupimwa.
Maendeleo hayana vyama!
Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.
Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na timu ya Dr Magufuli.
Baadhi ya watu kutoka China na India wameomba hotuba hiyo itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao ili ikawanufaishe watu wengi zaidi katika nchi zao.
Mjini Mombasa, Kenya hotuba hiyo ya Rais Magufuli imezuwa gumzo kubwa na wengi wamekubaliana na Rais Magufuli juu ya wasiwasi wa ubora wa vifas.
Mombasa wanaingia katika zoezi la mass testing lakini wananchi wanataka waelimishwe zaidi kabla ya kupimwa.
Maendeleo hayana vyama!
Kweli we oil ya magari.Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.
Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na timu ya Dr Magufuli.
Baadhi ya watu kutoka China na India wameomba hotuba hiyo itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao ili ikawanufaishe watu wengi zaidi katika nchi zao.
Mjini Mombasa, Kenya hotuba hiyo ya Rais Magufuli imezuwa gumzo kubwa na wengi wamekubaliana na Rais Magufuli juu ya wasiwasi wa ubora wa vifas.
Mombasa wanaingia katika zoezi la mass testing lakini wananchi wanataka waelimishwe zaidi kabla ya kupimwa.
Maendeleo hayana vyama!
Naomba hii iwe kwenye front page ya magazeti ya musiba ya usalama wa taifaHaya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.
Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na timu ya Dr Magufuli.
Baadhi ya watu kutoka China na India wameomba hotuba hiyo itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao ili ikawanufaishe watu wengi zaidi katika nchi zao.
Mjini Mombasa, Kenya hotuba hiyo ya Rais Magufuli imezuwa gumzo kubwa na wengi wamekubaliana na Rais Magufuli juu ya wasiwasi wa ubora wa vifas.
Mombasa wanaingia katika zoezi la mass testing lakini wananchi wanataka waelimishwe zaidi kabla ya kupimwa.
Maendeleo hayana vyama!
Kajificha wapi?View attachment 1439124Hiuyu ni JIWE haswa
Bwashee, umekunywa bia ya ngapi hii leo? Ongezea na bapa la K-Vant utie akili zaidiHaya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.
Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na timu ya Dr Magufuli.
Baadhi ya watu kutoka China na India wameomba hotuba hiyo itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao ili ikawanufaishe watu wengi zaidi katika nchi zao.
Mjini Mombasa, Kenya hotuba hiyo ya Rais Magufuli imezuwa gumzo kubwa na wengi wamekubaliana na Rais Magufuli juu ya wasiwasi wa ubora wa vifas.
Mombasa wanaingia katika zoezi la mass testing lakini wananchi wanataka waelimishwe zaidi kabla ya kupimwa.
Maendeleo hayana vyama!
Hayo umeota, umeambiwa, umesoma mahali au umesimliwa?Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.
Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na timu ya Dr Magufuli.
Baadhi ya watu kutoka China na India wameomba hotuba hiyo itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao ili ikawanufaishe watu wengi zaidi katika nchi zao.
Mjini Mombasa, Kenya hotuba hiyo ya Rais Magufuli imezuwa gumzo kubwa na wengi wamekubaliana na Rais Magufuli juu ya wasiwasi wa ubora wa vifas.
Mombasa wanaingia katika zoezi la mass testing lakini wananchi wanataka waelimishwe zaidi kabla ya kupimwa.
Maendeleo hayana vyama!
Wajameni tuwekee vielelezo basi.....Kutoka Palestine na Iran wanasema watakuwa begabega na Magufuli km Mabeberu yataleta janja janja