Hotuba ya Rais Magufuli ni fumbo la fursa kwa vijana

Wauza vitunguu wamekula lose sababu imekua gafla na mzigo ulikua tayar kwenye magar Ila nikuibie sir vitunguu now vinalipa vibaya
Nenda uone wenye vitunguu wanavyokula loss hapo kuingia kenya.hatukukatazi kumpongeza mtu ila unaandika mada na unaongea kinyume cha hali halisi
 
Kama nakuona vile uko ulipo TEAM BENDERA, nina Shaka na hotuba iliotolewa na wewe uliyoiweka hapa
 
Yaani ulikua hauna mpango wq kulima Hadi umsikilize Magufuli aseme ulime? Na wakulima wote hawajui wanatakiwa walime Hadi waambiwe na Magufuli?

Eti fumbo ..??
 
Back
Top Bottom