Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

Kaka Daudi!
Sio kwamba Maisha ni uchaguzi pekee, maisha ni pamoja na kukubali kutokukubaliana ili baadae tukubaliane hata kama ukuchagua au ulichagua.
yees ndiyo sasa ukubali kutokukubaliana na unachoamini wewe as long as hatufanyi personal attacks.
 
Kwa sasa anaeongea ni spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na anasema kikatiba wabunge wanaotakiwa ni 393 jumla na waliopo ni 359 wakisubiri wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi, wateule 10 wa Rais, viti maaum kutoka vyama vingine..
Huyu jamaa nikimwona au nikimsikia anazungumza napata kinyaa utafikiri sijui nimemwona shetani
 
Nakumbuka Yuko RASHID mmoja alikuwa anakunywa chai bila ya kufunika kikombe huko ughaibuni...sasa kwa kuwa kiingereza kilikuwa hakipandi vyema...akawa anakunywa tu kila anapoongezewa..Baba wa Taifa akapaza sauti kwa kiswahili "Rashid basiii funika kikombe Watakuua hao".

Rashid wa kawe KIINGEREZA kinapanda kweliii..."don't throw stones towards every barking dog"🤣🤣🤣
😂😂😂Umenikumbusha Rashidi yule, R. I. P
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom