Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Raisi Magufuli anaongea kuanzia kama dakika kama ya 5:20!
Kilinichofurahisha zaidi kwenye hiyo Hotuba labda klk vyote ni jinsi anavyojua kuanzia ukubwa wa nchi ya Vietnam, idadi ya watu wake mpaka pato la nchi ya Vietnam kwa kichwa na walipata Uhuru lini halafu analinganisha na nchi yetu huku akitaja namba kamili za ukubwa wa nchi yetu kwa kilometa za mraba kamili kabisa, inaonyesha jinsi gani Raisi Magufuli alivyo makini na kwamba anajitayarisha kabla ya kufanya jambo!