Hotuba ya rais Kikwete kufunga mwaka 2010

Status
Not open for further replies.

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,230
13,415
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, jioni ya leo, Ijumaa, Desemba 31, 2010, atatoa salamu maalum za Mwaka Mpya kwa wananchi.

Rais Kikwete atatoa salamu hizo kupitia hotuba yake kwa taifa ambayo ataitoa kwa njia ya redio na televisheni.

Katika salamu hizo, Rais Kikwete anatarajia kuzungumza masuala mbali mbali kuhusu matukio makubwa ya mwaka huu na mengine muhimu yaliyojitokeza katika jamii ya Tanzania katika miezi 12 iliyopita.

Taarifa hizi ni kwa mujibu wa kurugenzi ya mawasiliano Ikulu

IFUATILIE HAPA - http://bit.ly/h5T3k5
 
Thanks Max... nasubiri jinsi atakavyoelezea mambo ya uchaguzi, ukimwi, magari ya kifahari, umeme, dowans, nile basin, ufisadi, sex and youths, kilimo kwanza na interpretation yake, natinal security, infrastructure, serengeti road, misharaha versus inflation, UDINI, his "too many" trips, love of his poor people, urban planning and msimamo wa gbagbo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom