mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,258
- 1,541
Habari wana JamiForums,
Rais Magufuli amezidi kuwaonyesha watanzania kuwa yeye ndie one right choice na hana mpinzani.
Jana Mh. Rais Magufuli ameongea mengi sana baadhi ya aliyoongea ni mgogoro wa mipaka yetu na Kenya pamoja na ripoti ya mwenendo wa Corona hapa nchi.
Kwanza nimpongeze Rais Magufuli kwa kuendelea kutoa elimu ambayo itasaidia dunia mzima. Baada ya Rais Magufuli kufanya mambo mengi ya kisayansi huko nyuma ambayo mpaka sasa dunia mzima imekubaliana kuyafuata; jana katoa darasa lingine kwamba binadamu ukimfungia ndani kinga ya mwili inapungua kwaio kufungia watu ndan ni kuwahatarisha zaidi kuliko kuwaacha watoke nje
Pili niwapongeze wapinzani wa Tanzania kwa kumuelewa Rais John Pombe Magufuli maana inafahamika kura Rais hawezi kuongea neno lolote wao wakakaa kimya hata kama lina ukwel kiasi gani, lazima wajaribu kupotosha ila ukweli wa jana naona ulikuwa mzito na mchungu kwao sababu sijaona uzi hata mmoja ya maana juu ya Rais wetu mpendwa.
Ila nahisi jana ilikua aibu kwa watu wengi waliokua wanasema mzee kakimbia; toka jana sijakaona kale ka paka.
Sisi wote humu ndani tujipe muda tu. Nina imani sasa hivi wazungu watakua wanamfatilia Magufuli na kwa kauli yake aliyo sema jana kua ukimfungia mtu ndani unampunguzia kinga ya mwili.
Sishangai dunia mzima kutangaza kufungulia watu watoke nje sababu mwanasayansi pekee mwenye uwezo wa kumaliza hili tatizo ameshatoa muongozo. Nawaomba mtaopinga muache akiba ya maneno maana Magufuli siku zote ameendelea kuwa mshindi.