YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,909
- 51,904
Raisi akifikia muhula wake wa pili kulikuwa na mazoea ya wabunge na mawaziri kuanza kampeni mitandaoni nk na kutwa kushindana kuunda mitandao ya kujenga makundi ya kampeni ya kuutaka uraisi badala ya kufanya kazi
Raisi Hilo kaonya watu wafanye kazi na ninavyomjua hatanii he mean business
Kipindi Cha pili ambacho huwa Cha mwisho Cha utawala wa Raisi wa awamu husika viongozi wengi wa serikali na taasisi zake kulikuwa na tabia ya kujiunga mikundi ya watarajia kutia Nia za kugombea uraisi kazi zikawa haziendi kutwa Ni kujinadi Ohhh fulani ndie anafaa na vikao visivyoisha vya kampeni za chinichini na kelele vyombo vya habari na mitandaoni
Raisi Magufuli hatanii na atatumbua kweli wateuliwa wote chapeni kazi no kazi tu Hakuna kingine sababu lengo lake anataka kuachia mchapa kazi hasa sio domokaya anayeota Ikulu tu wakati performance Ni zero ndio maana kasisitiza performance na hatanii
Wabunge na mawaziri na wateuliwa chapeni kazi hasa huko mbele mchapa kazi Sana ndie aweza pokea kijiti mbeleni awe wa bara au Zanzibar
Tamanio lake sio kuacha madaraka kwa genge la wapiga porojo na wasio perform anataka akabidhi kijiti kwa mchapa kazi hasa ambaye anatilia maanani maslahi ya walio wengi
Hivyo wabunge , mawaziri na watendaji chapeni kazi