Hotuba ya Rais Dr. Kikwete, Mwisho wa mwezi Februari 2015

Kama alivyofanya kwenye tukio gani moja tu kati ya mengi yaliyoikumbwa nchi hii kwenye uongozi wake, ili hii iwe mara ya pili angalau tuamini kwamba anaweza maana alishawahi kufanya awali?
Weeeeeee! tumeshamzoea na kumjua hotuba zake ni as usual, hamna kitu hapo kitakachafanyika kwani hata 2008 alisema kwa uchungu hivyohivyo, mimi nilitegemea aseme waganga wa kienyeji miwsho maana ndiyo chanzo, lakini anawaogopa kwa vile wanamsaidia.
 
Amesema mauaji ya albino yameanza tu mara baada ya ye kuwa madarakani, tafakari! Amesema yanafanywa na wataka mafanikio ya kibiashara na kiuchumi, kisiasa je? Tafakari!
 
Lame duck..... Hanaga la maana kwenye hotuba zake kusoma makaratasi tu nakulialia nakulalamika. Policy zake zote zimefeli, Sijui kilimo kwanza, Kasi mpya, Low quality education, Maji hamna mijini watu tunanunua vindoo mpaka kesho, Foleni mijini, Kushuka thamani ya pesa, Ulipuaji mabomu makanisani, Madawa yakulevya pamoja na kupewa list, Tembo karibu nusu yake wameisha, Kukithili mauaji ya Albino haya yote yameshamili katika kipindi chake, .... Ninasababu gani zakusikiliza hotuba yake?
 
hata tume ya walioba ilisifiwa lkn ilipoenda kinyume na ccm mzee yule na watu wake walitukanwa sana tena mpaka kuombewa kifo,,
 
Hayo yooote,na anataka mitandao imsifie na his govt
 
Jk hotuba zake nyingi huwa anaishia kutoa takwimu na si majawabu ya nini kifanyike au serikali imefanya nini
 
hata tume ya walioba ilisifiwa lkn ilipoenda kinyume na ccm mzee yule na watu wake walitukanwa sana tena mpaka kuombewa kifo,,

Ndiyo sababu TUME ya UCHAGUZI imeamua kufanya vituko ili isifiwe na CCM sasa sina uhakika kwa mwezi mmoja tu tunaweza kuandikishwa watanzania hata milioni kumi tu........

Kama mpaka leo ndiyo wapo vitongoji tisa,sasa sielewi mkoa wa njombe tu utaisha lini?Halafu inaitwa BVR .................
 
Asante sana, Hotuba Nzuri with details.....Nimeipenda hotuba iliyosheheni taarifa za kitaifa sana. Asante

Pole Raisi wetu na Mwenyekit wetu kwa kumpoteza Mwanachama na Muhamasishaji mahiri wa chama chetu....Mungu ailaze Roho yake mahali pema peponi Amen.

Mwadiwani ....Asante kwa warka huu.:A S thumbs_up:
Ndugu,

Ninakupa na wewe shukrani zangu kwa kunishukuru.

Tuendelee kuhabarishana na kuelimishana!
 
Aisee!
Hebu zitunzeni hotuba hizi na hasa wenye teknolojia waziweke kabisa kwenye audio/video kwa ajili ya vizazi vijavyo na vipindi vya TBC kama Ujumbe wa leo. Hii ni kwa sababu kuna kosa kubwa lilifanyika kwa kutozitunza hotuba za viongozi wengine waliotangulia hasa Mzee Mwinyi na sasa ni nadra sana kusikia aliyokuwa akiyasema na sio muda mrefu vizazi vijavyo vitasahau.
 
Ndiyo sababu TUME ya UCHAGUZI imeamua kufanya vituko ili isifiwe na CCM sasa sina uhakika kwa mwezi mmoja tu tunaweza kuandikishwa watanzania hata milioni kumi tu........

Kama mpaka leo ndiyo wapo vitongoji tisa,sasa sielewi mkoa wa njombe tu utaisha lini?Halafu inaitwa BVR .................

Mkuu kuna kazi kubwa Sana inahitajika na kwa muda uliopo ni Mdogo Sana kama zoezi hili lingeanza mwaka Jana September Kama lilivyopangwa Leo hii tusingekuwa tunayaongelea haya
 
Aisee!
Hebu zitunzeni hotuba hizi na hasa wenye teknolojia waziweke kabisa kwenye audio/video kwa ajili ya vizazi vijavyo na vipindi vya TBC kama Ujumbe wa leo. Hii ni kwa sababu kuna kosa kubwa lilifanyika kwa kutozitunza hotuba za viongozi wengine waliotangulia hasa Mzee Mwinyi na sasa ni nadra sana kusikia aliyokuwa akiyasema na sio muda mrefu vizazi vijavyo vitasahau.

Well noted mkuu
 
Nimefarijika na taarifa kuwa zoezi la uboreshaji wa Daftari na uandikishaji wa wapiga kura limeanza vizuri Makambako. Wananchi wamejitokeza kwa wingi kuliko ilivyotarajiwa. Kati ya tarehe 23 hadi 25 Februari, 2015 kwa mfano, Tume ilitegemea kuandikisha wapiga kura 9,541 lakini kutokana na mwamko wa wananchi kuwa mkubwa wameweza kuandikisha wapiga kura 13,042. Kila kituo kilikuwa kinaandikisha kati ya wapiga kura 80 na 150 kwa siku. Lengo la Tume ni kuandikisha wapiga kura 32,000 katika Halmashauri ya Makambako ambako kwa siku wanatarajia kuandikisha watu 4,320. Naambiwa kuwa hesabu za juzi na jana wameandikisha hadi wapiga kura 6,000 kwa siku. Kwa kasi hii na kama mambo yatakwenda kama inavyotarajiwa, lengo hilo litafikiwa na hata kuvukwa.==================

Kusema kweli huyu Rais wetu anasikitisha na kutia huruma sana! Sijui ni uwezo au ni kujitoa ufahamu?

Hivi ni kitu gani kinachomfanya aamini kwamba April 30, Watanzania wote wenye sifa tutakuwa tumeandikwisha kwenye daftari kudumu la wapinga kura? Na kwamba April 30 tutapiga kura ya maoni ya katiba pendekezwa. Watu watasema anapotoshwa na washauri wake? Ina maana yeye Mh. Rais hawezi kufanya hata hesabu ndogo za kujumlisha na kugawa.

Anasema jana na juzi tume imeweza kuandikisha watu 6,000 kwa siku. Mhe Rais anaona hii ni improvement ya hali ya juu kwani mwanzoni tume ilikuwa inaandikisha kati watu 4,320 kwa siku

Jamani hizi ni hesabu za mtoto wa STD 1. Kama tume ina uwezo wa kuandikisha watu 6,000 kwa siku, Tume itawachukua siku 4,000 kuandikisha Watanzania 24,000,000 wenye sifa ya kujiandikishwa kwenye daftari la wapiga kura. Repeat again SIKU 4,000. FYI, mwaka mmoja una siku 365 na 1/4 tu.

Hata kama Mhe. Rais hajui kabisa hesabu ni maajabau gani anayofikiri kwamba tume itaweza kuandikishwa wapiga kura wote wenye sifa kwa kipindi cha < siku 60 zilizobaki, kabla ya kura ya maoni?
 
Kusema kweli huyu Rais wetu anasikitisha na kutia huruma sana! Sijui ni uwezo au ni kujitoa ufahamu?

Hivi ni kitu gani kinachomfanya aamini kwamba April 30, Watanzania wote wenye sifa tutakuwa tumeandikwisha kwenye daftari kudumu la wapinga kura? Na kwamba April 30 tutapiga kura ya maoni ya katiba pendekezwa. Watu watasema anapotoshwa na washauri wake? Ina maana yeye Mh. Rais hawezi kufanya hata hesabu ndogo za kujumlisha na kugawa.

Anasema jana na juzi tume imeweza kuandikisha watu 6,000 kwa siku. Mhe Rais anaona hii ni improvement ya hali ya juu kwani mwanzoni tume ilikuwa inaandikisha kati watu 80 - 150!

Jamani hizi ni hesabu za mtoto wa STD 1. Kama tume ina uwezo wa kuandikisha watu 6,000 kwa siku, Tume itawachukua siku 4,000 kuandikisha Watanzania 24,000,000 wenye sifa ya kujiandikishwa kwenye daftari la wapiga kura. Repeat again SIKU 4,000. FYI, mwaka mmoja una siku 365 na 1/4 tu.

Hata kama Mhe. Rais hajui kabisa hesabu ni maajabau gani anayofikiri kwamba tume itaweza kuandikishwa wapiga kura wote wenye sifa kwa kipindi cha < siku 60 zilizobaki, kabla ya kura ya maoni?

Mkuu watanzania bado tuna safari ndefu sana
 
Nimefarijika na taarifa kuwa zoezi la uboreshaji wa Daftari na uandikishaji wa wapiga kura limeanza vizuri Makambako. Wananchi wamejitokeza kwa wingi kuliko ilivyotarajiwa. Kati ya tarehe 23 hadi 25 Februari, 2015 kwa mfano, Tume ilitegemea kuandikisha wapiga kura 9,541 lakini kutokana na mwamko wa wananchi kuwa mkubwa wameweza kuandikisha wapiga kura 13,042. Kila kituo kilikuwa kinaandikisha kati ya wapiga kura 80 na 150 kwa siku. Lengo la Tume ni kuandikisha wapiga kura 32,000 katika Halmashauri ya Makambako ambako kwa siku wanatarajia kuandikisha watu 4,320. Naambiwa kuwa hesabu za juzi na jana wameandikisha hadi wapiga kura 6,000 kwa siku. Kwa kasi hii na kama mambo yatakwenda kama inavyotarajiwa, lengo hilo litafikiwa na hata kuvukwa.==================

Kusema kweli huyu Rais wetu anasikitisha na kutia huruma sana! Sijui ni uwezo au ni kujitoa ufahamu?

Hivi ni kitu gani kinachomfanya aamini kwamba April 30, Watanzania wote wenye sifa tutakuwa tumeandikwisha kwenye daftari kudumu la wapinga kura? Na kwamba April 30 tutapiga kura ya maoni ya katiba pendekezwa. Watu watasema anapotoshwa na washauri wake? Ina maana yeye Mh. Rais hawezi kufanya hata hesabu ndogo za kujumlisha na kugawa.

Anasema jana na juzi tume imeweza kuandikisha watu 6,000 kwa siku. Mhe Rais anaona hii ni improvement ya hali ya juu kwani mwanzoni tume ilikuwa inaandikisha kati watu 4,320

Back
Top Bottom