Hotuba ya Rais Dr. Kikwete, Mwisho wa mwezi Februari 2015

Katika hotuba yake ya kila mwezi juzi Rais wa Tanzania amebainisha pasi shaka kwamba Tanzania kuna magaidi.Amesema kuwa matukio ya kuvamia polisi na kupora silaha ni typically terrorisim action pia ametoa shukrani kwa wananchi walitoa taarifa na kupelekea kukamatwa kwa magaidi na majambazi.Ohooooo.

Kuna video katika mitandaoni ambayo mabwana fulani wanatutisha kweli na mapanga na mgongoni wana AK 47 wanasema wazi kabisa kuwa wao ndio wamekuwa wakivamia vituo vya polisi na kupora silaha.

Sasa kama hawa magaidi wanatoka miongoni mwetu Mhe.Rais chonde chonde kutana nao ili nchi ijue shida na haja zao mapema na kuwasaidia kuliko kusubiri mambo kuja kuwa makubwa maana tumeona matukio hayo hapa nchini,kenya,nigeria etc.
 
Mkuu kuna kazi kubwa Sana inahitajika na kwa muda uliopo ni Mdogo Sana kama zoezi hili lingeanza mwaka Jana September Kama lilivyopangwa Leo hii tusingekuwa tunayaongelea haya

Ndiyo maana utakubaliana nami kwamba Judge Lubuva anamuogopa muajiri wake.Yupo tayari kutoa uhai wa watanzania ambao watataka kutumia nguvu ili kuipata HAKI YA KUPIGA KURA.

In short Judge Lubuva na Team yake wamejitahidi Kucheza na Kuimba wimbo wa SERIKALI ya CCM aka WIMBO wa TOT,sina uhakika kama anajua IMPACT yake kwa Taifa lake.
 
Kusema kweli huyu Rais wetu anasikitisha na kutia huruma sana! Sijui ni uwezo au ni kujitoa ufahamu?

Hivi ni kitu gani kinachomfanya aamini kwamba April 30, Watanzania wote wenye sifa tutakuwa tumeandikwisha kwenye daftari kudumu la wapinga kura? Na kwamba April 30 tutapiga kura ya maoni ya katiba pendekezwa. Watu watasema anapotoshwa na washauri wake? Ina maana yeye Mh. Rais hawezi kufanya hata hesabu ndogo za kujumlisha na kugawa.

Anasema jana na juzi tume imeweza kuandikisha watu 6,000 kwa siku. Mhe Rais anaona hii ni improvement ya hali ya juu kwani mwanzoni tume ilikuwa inaandikisha kati watu 4,320 kwa siku

Jamani hizi ni hesabu za mtoto wa STD 1. Kama tume ina uwezo wa kuandikisha watu 6,000 kwa siku, Tume itawachukua siku 4,000 kuandikisha Watanzania 24,000,000 wenye sifa ya kujiandikishwa kwenye daftari la wapiga kura. Repeat again SIKU 4,000. FYI, mwaka mmoja una siku 365 na 1/4 tu.

Hata kama Mhe. Rais hajui kabisa hesabu ni maajabau gani anayofikiri kwamba tume itaweza kuandikishwa wapiga kura wote wenye sifa kwa kipindi cha < siku 60 zilizobaki, kabla ya kura ya maoni?

Kaka na ELIMU yangu ndogo sana ukilinganisha na ya Prof.wa Kichina ni kwamba HAKUNA :

1.KURA YA MAONI..................
2.UCHAGUZI MKUU.............

Kwa maana hiyo mimi niliye na ELIMU ndogo sana nimeweza kulijua hili sasa RAIS wangu ambaye amepewa mpaka UPROFESA ameshindwa kulijua hilo?

Sasa kama kudanganywa basi angechanya na zake japo kidogo tu,basi amuulize hata kijana wake pia kama hayo aambiwayo ni ya kweli..............

:pray::pray::pray::pray: ili RAIS wangu atumie za kwake kwa sasa................
 
Ndiyo maana utakubaliana nami kwamba Judge Lubuva anamuogopa muajiri wake.Yupo tayari kutoa uhai wa watanzania ambao watataka kutumia nguvu ili kuipata HAKI YA KUPIGA KURA.

In short Judge Lubuva na Team yake wamejitahidi Kucheza na Kuimba wimbo wa SERIKALI ya CCM aka WIMBO wa TOT,sina uhakika kama anajua IMPACT yake kwa Taifa lake.

Katika hili tume wameshindwa kuwa wakweli
 
Kusema kweli huyu Rais wetu anasikitisha na kutia huruma sana! Sijui ni uwezo au ni kujitoa ufahamu?

Hivi ni kitu gani kinachomfanya aamini kwamba April 30, Watanzania wote wenye sifa tutakuwa tumeandikwisha kwenye daftari kudumu la wapinga kura? Na kwamba April 30 tutapiga kura ya maoni ya katiba pendekezwa. Watu watasema anapotoshwa na washauri wake? Ina maana yeye Mh. Rais hawezi kufanya hata hesabu ndogo za kujumlisha na kugawa.

Anasema jana na juzi tume imeweza kuandikisha watu 6,000 kwa siku. Mhe Rais anaona hii ni improvement ya hali ya juu kwani mwanzoni tume ilikuwa inaandikisha kati watu 4,320

Jamani hizi ni hesabu za mtoto wa STD 1. Kama tume ina uwezo wa kuandikisha watu 6,000 kwa siku, Tume itawachukua siku 4,000 kuandikisha Watanzania 24,000,000 wenye sifa ya kujiandikishwa kwenye daftari la wapiga kura. Repeat again SIKU 4,000. FYI, mwaka mmoja una siku 365 na 1/4 tu.

Hata kama Mhe. Rais hajui kabisa hesabu ni maajabau gani anayofikiri kwamba tume itaweza kuandikishwa wapiga kura wote wenye sifa kwa kipindi cha < siku 60 zilizobaki, kabla ya kura ya maoni?

Kama wanaweza kuandikisha watu 6000 kwa siku kwa halmashauri moja, wakianza zoezi la uandikishaji kwa halmashauri zote (130 approximately, sina uhakika na takwimu) kwa mpigo, siku zitakuwa chache. Mfano watu 6000 x halmashauri 130 = 780,000 kwa siku. So, kama assumption ni kuandikisha watu hata nusu tu ya idadi ya halmashauri zilizopo kwa mpigo, bado mda unatosha. Lakini kama wanaenda one after the other, hapo kuna shida.
 
utakuwa punguwani wewe. hiyo ni kwa wilaya ya njombe tu.
hilo zoezi litakuwa likiendelea nchi nzima kwa wakati mmoja. na hapa umedhihirisha kuwa uwezo wako ni wa std 1. unajiona unaakili kumbe punguwani.

Kusema kweli huyu Rais wetu anasikitisha na kutia huruma sana! Sijui ni uwezo au ni kujitoa ufahamu?

Hivi ni kitu gani kinachomfanya aamini kwamba April 30, Watanzania wote wenye sifa tutakuwa tumeandikwisha kwenye daftari kudumu la wapinga kura? Na kwamba April 30 tutapiga kura ya maoni ya katiba pendekezwa. Watu watasema anapotoshwa na washauri wake? Ina maana yeye Mh. Rais hawezi kufanya hata hesabu ndogo za kujumlisha na kugawa.

Anasema jana na juzi tume imeweza kuandikisha watu 6,000 kwa siku. Mhe Rais anaona hii ni improvement ya hali ya juu kwani mwanzoni tume ilikuwa inaandikisha kati watu 4,320

Jamani hizi ni hesabu za mtoto wa STD 1. Kama tume ina uwezo wa kuandikisha watu 6,000 kwa siku, Tume itawachukua siku 4,000 kuandikisha Watanzania 24,000,000 wenye sifa ya kujiandikishwa kwenye daftari la wapiga kura. Repeat again SIKU 4,000. FYI, mwaka mmoja una siku 365 na 1/4 tu.

Hata kama Mhe. Rais hajui kabisa hesabu ni maajabau gani anayofikiri kwamba tume itaweza kuandikishwa wapiga kura wote wenye sifa kwa kipindi cha < siku 60 zilizobaki, kabla ya kura ya maoni?
 
Wewe kasikilize hotuba ya Mbowe akihutubia kikundi chake cha uasi kule kanda ya ziwa! Sasa nimeelewa kwanini mbowe husema kila siku machafuko,machafuko,machafuko..kumbe amejiandaa! lakini hatofanikiwa maana vyombo vya ulinzi vina watazama.

hotuba lain utafikiri anasomesha demu.
 
Mkuu kuna sehemu kagusia watumiaji wa mitandao ya kijamii na polisi umepaona

vipi kuhusu watumiaji wa mitandao al maarufu kama 'wanamtandao' ambao hata yeye alinufaika nao mwaka 2005 kuingia magogoni wakati wa kuusaka urais kasema je?
 
Back
Top Bottom