Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

Kuna senator aliyepigwa risasi marekani mchana ndani ya viunga vya senate?
Ukiacha marekani hapa tz akuna mb yeyote alishapigwa risasi ndani ya viunga vya bunge?

Achana na senator tuanze na meza kuu kwa uchache sana haijalishi ni viunga vya Senate,...abrahim Lincoln, JFK,

Tonmy BUrcks.., Lous Cardis ******(huyu Kuna ufanano na unakofikiria) plus Edward 'eddy' king....same theory.

....15+ congressmen had been gunned down/killed in office tena wengine kwenye viunga vya Senate......

Kaburu Akitaka kukutawala alikua anakujaza ujinga kama hiyo caption uliyoileta. Kamsome Hitler kidogo sio kwenye movie ila kwa maandishi.
 
Kuna senator aliyepigwa risasi marekani mchana ndani ya viunga vya senate?
Fungua uzi wa hiyo hoja, si kila uzi tujadili Lisu mbona Wangwe hatajwi au yeye ajali yake haikuwa na hujuma.
Kolimba aliyefia kwenye mchakato, sometime mtu kuuawa inabidi kama inabidi aidha na watu wabaya au wema kwa maslahi yao. Hakuna anayejua 100% nani alikuwa anahusika na tukio hilo , kama mtu anaushahidi si afungue kesi ? Akina Zito wamekuwa na ushahidi wao wanefungua kesi Meya Jacob akiwa na ushahidi wake amefungua kesi
 
Ukiacha marekani hapa tz akuna mb yeyote alishapigwa risasi ndani ya viunga vya bunge?

Achana na senator tuanze na meza kuu kwa uchache sana haijalishi ni viunga vya Senate,...abrahim Lincoln, JFK,

Tonmy BUrcks.., Lous Cardis ******(huyu Kuna ufanano na unakofikiria) plus Edward 'eddy' king....same theory.

....15+ congressmen had been gunned down/killed in office tena wengine kwenye viunga vya Senate......

Kaburu Akitaka kukutawala alikua anakujaza ujinga kama hiyo caption uliyoileta. Kamsome Hitler kidogo sio kwenye movie ila kwa maandishi.
Katika jambo ambalo mzungu alifanikiwa sana katika kuua jamii ya muafrika, ni kwenye elimu. Bado fikra na mawazo ya mzungu wengi wetu wanayaona sawa kwa kila kitu.
 
Nilijua tu unatafuta pa kumpaisha Tundu Lissu
Usa watu wanauawa mchana kweupee,na ndio mnamwira baba wa demokrasia
Siku mtakapogundua kuwa ulikua ni mpango wa chadema ili kuichafua serikali,mtalia sana na kusaga meno
Aiiii nimebanwa na mafiii nisamehe mbrrrr mbrrrrrrrrr mbrrrrr

Mbaaff
 
Nilijua tu unatafuta pa kumpaisha Tundu Lissu
Usa watu wanauawa mchana kweupee,na ndio mnamwira baba wa demokrasia
Siku mtakapogundua kuwa ulikua ni mpango wa chadema ili kuichafua serikali,mtalia sana na kusaga meno
..marekani kuna mwakilishi yeyote wa wananchi au senator aliyewahi kupigwa risasi mchana kweupe na wahuni waliotumwa na viongozi wa serikali??
 
..marekani kuna mwakilishi yeyote wa wananchi au senator aliyewahi kupigwa risasi mchana kweupe na wahuni waliotumwa na viongozi wa serikali??
Marais kennedy na Rwagan walipigwa risasi mchana kweupeee
 
Nilijua tu unatafuta pa kumpaisha Tundu Lissu
Usa watu wanauawa mchana kweupee,na ndio mnamwira baba wa demokrasia
Siku mtakapogundua kuwa ulikua ni mpango wa chadema ili kuichafua serikali,mtalia sana na kusaga meno
Wale Askari wanaolinda area D waliondoa was na chadema siku ya tukio? Embecile
 
Hicho ni kipande kidogo sana ulichokikariri.
Hotuba hiyo ya kibaguzi, ilijumisha pia waarabu.

Alisema waafrika na waarabu hawafai kabisa kujitawala na ukiwapatia silaha watauana wao kwa wao, ukiwapatia madaraka watapendelea ukabila, kuhujumu mali ya umma nk nk.

Lakini yote kwa yote, je yaliyosemwa na huyo kaburu, yana ukweli gani ama ni ya uongo mtupu?
Waarabu wana afadhali
 
Pieter Willem Botha, was a former president of South Africa.
In 1988, he told the World: Black people cannot rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society.
He went further to say, how the black people hate themselves! He said: "Give them guns, they would kill themselves;
Give them power, they will steal all the government money;
Give them independence, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and wars!"
Tell me of any black society today where they love each other?
Xenophobia in South Africa is a reflection of how weak the black man brain functions! They hate themselves, they are jealous of each other, they kill each other with reckless abandon, they can't think beyond tribal considerations, blacks don't know why Africa was even divided by the Europeans!
Xenophobia tells you, how black brain is negatively constructed! Indians are not killing themselves, no matter where they come from;
Chinese don't kill each other, no matter what they do together;
The Asians don't kill each other.......but black Africans derive joy in hatred, war, stealing, looting, jealousy, ethnicity and killing of each other!
South African white, Indian, Asian and Chinese community, are looking at black people as animals who can not live together in peace and harmony but to kill themselves!
Anytime you hear Black South Africans talk about xenophobia, reflect your mind back to Pieter Willem Botha, who said: "Blacks can never be able to organize themselves without killing each other!
Xenophobia is a crime against humanity. What a shame on Black Race!!!!
 
Wajinga wavivu wapenda pombe wapenda ngono wapenda kujazana makanisani washirikina n.k

Nimeambulia kitu
 
Wajinga wavivu wapenda pombe wapenda ngono wapenda kujazana makanisani washirikina n.k

Nimeambulia kitu

Umeandika kwa kudodnoa lakini unasema mengi yana ukweli. Utakuwa jitu kila siku linawahi kanisani au msikitini, lakini kazini linachelewa kila siku. Jitu linajidai kuwa na watoto 20 lakini halimtunzi hata mmoja. Pathetic ... tujiangalia kwanza wenyewe kabla ya kuwalumu wengine,
 
ndio maana mungu alimuumba adamu na eva niweupe. na ndio maana mitume na manabii kuanzia adamu nuhu ebrahimu ayoob elyas issa mohamad walikuwa weupe mungu akuchagua nabii au mtume mweusi ingekuwa balaa mtume huyo angeruhusu kufirana kuibiana kuuwa kudhulumu
 
Mwandishi naomba uiweke kwenye lugha ya SADC ili nami nisome nielewe mnaongelea ninj?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom