Hotuba ya mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msanii, Jun 19, 2012.

 1. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Wakuu nawakalisha kama ilivyo...
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu kwa taarifa

  By: Tume ya katiba
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tume imejaa wazee tupu. ok naanza na maoni, wafungue web site yao, watu tuweze kutoa maaoni hata walio nje ya nchi, shortly watumie mitandao hata ya kijamii. tuanzie hapo kwanza
   
 4. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Hapana, tutakuwa na website nyingi sana.
  JF Tayari kuna room ya Mchakato wa Katiba iliyoanza muda mrefu kabla hata ya hiyo tume haijaundwa, wao ndio wajipange ni namna gani wataexploit resources za JF, Ukizingatia wengine hatutapata muda wa kutoka kwenda kuonana nao uso kwa uso.

  Tunawakaribisha sana na wajue wangine tutashiriki kama pweza vile, kila watakakokuwa tutakuwapo kutoa maoni, wasituchoke.
   
 5. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  By POMPO [​IMG]
  Tume imejaa wazee tupu. ok naanza na maoni, wafungue web site yao, watu tuweze kutoa maaoni hata walio nje ya nchi, shortly watumie mitandao hata ya kijamii. tuanzie hapo kwanza,
   
 6. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mwenyekiti angeweza kutaja hizo twitter, facebook na nyinginezo ili tuanze kazi leo.
   
Loading...