Hotuba ya mwaka ya Salma Kikwete

Status
Not open for further replies.
Mwanagu mwikumwiku huyo ni mke wa rais siyo mke wa mtu binafsi. Isitoshe huyo mama yenu unayetaka nimlete akija hapo hamtamuelewa maana kwake kiingereza ni lugha ya kwendea sokoni kila siku. Nadhani haya tuyaache hujui unaongea na nani. Cha msingi ni kwamba mama yenu amechemsha vibaya sana. Maana anapaniki si kawaida. Namuonea huruma mama yenu. Kwanini muda anaotumia kuzurura asiende shule?
 
Kinacho kuchekesha hapo ni nini! acha ushabiki wenye msukumo wa gubu! mlete mkeo tusikie hotuba yake, tena tutamruhusu atumie kisw.
Huyo unaemtetea wewe ni mkeo, kwani wewe humuoni anavyotetemeka, darasa la saba anajilazimisha kutumia kiingereza cha kukaririshwa, kwa nini asingetumia kiswahili akawa na mkalimani, ulimbukeni tu, kuonekana na yeye anajua kusoma kiingereza, ha ha ha ha, na nitamcheka mpaka atakapogundua kutumia lugha usioijua sio uungwana!! mtoto wangu wa chekechea anamtoa kamasi acha mke wangu
 
Hahaha baada ya hapo naona alikunywa ka glass kumi za maji, yuko ka anataka kukimbia esp wkt wakusoma page 1, Af hizo takwimu alivozitaja hadi unapotea dah! nways better thn Zimbabwe n Pemba
 
Mwanagu mwikumwiku huyo ni mke wa rais siyo mke wa mtu binafsi. Isitoshe huyo mama yenu unayetaka nimlete akija hapo hamtamuelewa maana kwake kiingereza ni lugha ya kwendea sokoni kila siku. Nadhani haya tuyaache hujui unaongea na nani. Cha msingi ni kwamba mama yenu amechemsha vibaya sana. Maana anapaniki si kawaida. Namuonea huruma mama yenu. Kwanini muda anaotumia kuzurura asiende shule?

Sema amekosea nini! acha gubu wewe!
 
"Matenite has been reduce"
Umeona anavyohema?
Kwanini kuteseka hivyo wakati angeongea kiswahili akatafsiriwa angefikisha ujumbe kwa starehe tu?
Kama utaendelea kubisha nitakubandikia hotuba zake za kiswahili uone anavyohutubia kwa raha mstarehe. Naumuonea huruma.
 
Huyo unaemtetea wewe ni mkeo, kwani wewe humuoni anavyotetemeka, darasa la saba anajilazimisha kutumia kiingereza cha kukaririshwa, kwa nini asingetumia kiswahili akawa na mkalimani, ulimbukeni tu, kuonekana na yeye anajua kusoma kiingereza, ha ha ha ha, na nitamcheka mpaka atakapogundua kutumia lugha usioijua sio uungwana!! mtoto wangu wa chekechea anamtoa kamasi acha mke wangu

Wivu kwa wake za wenzio utakua! Kaongea kitu gani kibaya cha kukufanya ufananishe hotuba yake na hotuba za Amini.
 
Wivu kwa wake za wenzio utakua! Kaongea kitu gani kibaya cha kukufanya ufananishe hotuba yake na hotuba za Amini.
umeniquote mimi au mtu mwingine, sijamfananisha na amini, hata hivyo sina tabia ya wivu, labda wewe kama ni mke mwenzie ndio unamuonea wivu, ukweli lazima tuseme
 
Mama wa kwanza kaongea vizuri, kasoro zipo katika kutamka maneno kana kwamba ni mzoefu. Alipo hapo inaonesha kusoma kwake sio tatizo ila tatizo ni kwamba hafanyii mazoezi kwa kuongea hicho kiingereza anacho kijua. Hata hivo ukisikiliza inaonesha ni namna gani wa TZ matamshi ya namba kwa kiingereza ni mtihani. So far hajawa kituko, she did her best na the speech coherent.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom