Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,335
- 6,616
Alikuuma vipi wakati ameuliwa?Jamaa aliniuma sana alipouliwa,wale jamaa wa pale kati nawachukia sana
HahahahahaAlikuuma vipi wakati ameuliwa?
wazungu wakammalizia "oh bebii"Alikuwa na madaraka ya kulevya
na ile hotuba yake nyingine wakati maji yamefika shingoni inaumiza sana,alikua anaitisha maandamano ya wananchi wake kupinga kinachofanywa na waasi na watu wamagharibi,hakuna kiongozi shujaa kama huyu afrikaRest in peace Colonel Muammar Gaddaffi
naona uzijui siasa sa nje mkuu umejazwa pumba na hollywoodHa ha ha! Kikao cha viongozi wa kiarabu wakijazana upumbavu tu hapo. Zaidi ya 67% ya maneno yanayomtoka ni Israel, Jews, and the like na yanatamkwa kisharishari. Hawa jamaa walifika mahali wakavimbiwa hela za mafuta walizopelekewa na Western nao wakajihisi "wababe" wa dunia. Poor Gaddafi, poor Saddam, poor Arabs.