Hotuba ya Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela kwenye Mahafali ya chuo Kikuu cha Ruaha-RUCU

Jamaa anaongea pumba, kuna jamaa yangu ofisini hunishangaa kwa nini nafanya sana maandilizi ya kujifua kabla ya kikao au mkutano. madhara ya kutokujiandaa ndio haya, pia taasisi ziwe ninafikiria unaalika mtu kama huyu. Eti hata msipoitikia CCM bado CCM mtaikuta mtaani
 
Back
Top Bottom