Hotuba ya Mhe. Mbowe ina ubora kuzidi hotuba zote tangu mwaka 1995!

Mbowe Leo kanitoa hofu na mashaka, haya October ifike nijichinjie mie, naanza na Mkubwa wao.. Halafu nashuka chini...katakatakata mapadlocks alcohol...

Wajinga Kama Wew ndo mbowe amewapenda maana maana Jamaa ameshaaweka mfukoni hela za kutosha Wew unaimbishwa peoples ...zzz ,wajinga ndo waliwao
 
Mshuukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele-Zab 136:1
 
Nina uhakika hata mwenyezi Mungu akiichukua Roho yangu leo Basi watanzania wenzangu wanaobakia nyuma wataiona Tanzania yenye Neema chini ya Lowassa,eeeeh Mungu Baba tuondolee hawa miungu watu kupe wanaotunyonya ili hali wao wakinufaika kwa jasho letu na wakitumia ubabe wanajeshi magari ya washawasha pale wanapoona kitumbua chao kinaingia mchanga,naomba ukayageuzemaji ya washawasha kuwa MAJI YA UKOMBOZI WA KWELI NA YENYE KUTIA HAMASA YA KUIKOMBOA NCHI KUTOKA MIKONONI MWA WACHACHE WALIOJISAHAI,SSSSSAA YA UKOMBOZI NI LEO......
 
Nilipenda pale aliposema, mtu anakuletea mtaji wa watu 1,000,000 ukatae ili iweje? Kwa upande wangu nilichokiona ni kupata supporters wengi kwani lengo la chama chochote cha siasa ni kushika dola, dola haishikwi bila wanachama au mashabiki wengi.
 
Ha ha ha haaaa...

Pili pili ya shamba yakuwashia nn?

Wala hainiwashi, naona nyinyi ndiyo mnawashwa na matapishi yenu mnayoyanywa.

Tuliyaona kwa Mrema, kwa Slaa na wengineo. Wala hatuna wasi wasi.

Mbowe kaona mbali, kaona bora avute mshiko wake, Urais anajuwa hakuna, iwe Lowasa au mwengine yoyote yule kutokea upinzani.
 
Nimesikiliza kwa makini sana, nimerudia tena na tena, nimewasiliana na rafiki zangu ambao mwanzo walisita kulainisha mioyo yao kumpokea ndugu Edward na mwisho wa siku nimeona niseme tu kuwa speech ya Mbowe iligusa mioyo ya watanzania na kukiri kuwa inaweza kuchukua tena zaidi ya karne kupata tena speech kama hiyo. Hakika Mbowe umekomaa kisiasa, matendo yako yanaonesha dhamira ya dhati ya ukombozi, umeweka mbele maslahi ya taifa kwelikweli.

Nilivutiwa zaidi pale aliposema kuwa "mwanachama aliyejiunga leo hana tofauti na yule aliyejiunga miaka 20 iliyopita...si chama cha kugawana vyeo bali kupeana majukumu kulingana na taaluma na uwezo wako"

Nisiongee mengi...tafuta ile speech uisikilize tena!
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mi mwenyewe nilikuwa kwenye dilema sasa nimetulia.hapa labda kwa wenye chuki binafsi kama nape. Hivi itokee mbowe huyo huyo arudi ccm je watakataa ?
 
Back
Top Bottom