Mlalahoi Mlalahai
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 399
- 144
Ile hotuba ni kiboko, waliotaka kuhama nadhani wamebadili uamuzi
Mbowe Leo kanitoa hofu na mashaka, haya October ifike nijichinjie mie, naanza na Mkubwa wao.. Halafu nashuka chini...katakatakata mapadlocks alcohol...
For the first time leo nimemkubali mbowe! Amejijengea uwezo wa kulimudu jukwaaa. Kwa speech sasa yuko level moja na JK!
Hotuba ile kaandikiww na Apson Mwang'onda. Yeye mwenyewe hata kuongea hajui
Hotuba ile kaandikiww na Apson Mwang'onda. Yeye mwenyewe hata kuongea hajui
Weka pdf file la hotuba
Yupi sasa Mbowe au Mbatia.Hotuba ile kaandikiww na Apson Mwang'onda. Yeye mwenyewe hata kuongea hajui
Wamekutuma pekee yako? Nend kawabebe wenzako mje na tarumbeta.
Ha ha ha haaaa...
Pili pili ya shamba yakuwashia nn?
Leo kwa mara ya kwanza nimekuja upande wako dada!