Hotuba ya mbowe mazishi ya Makani imebeba uzito stahiki unaofikirisha

kwanza
Kumbe CHADEMA waanzilishi wake walipatikana kutoka kila kanda kuu za tanganyika yaani kanda ya ziwa ya kusini ya magharibi, na ya mashariki kama ifuatavyo;
o Edwin Mtei (Arusha),
o Makani (Shinyanga),
o Marehemu Brown Ngwilupipi (Iringa),
o Edward Barongo (Kagera),
o Mary Kabigi (Mbeya),
o Menrad Mtungi (Kagera),
o Costa Shinganya (Kigoma),
o Evalist Maembe (Morogoro) na
o Steven Wassira (Mara).


Mbona uongozi wa serikali kuu ya ccm hatuisema ni ya kidini (kiislamu) hata baada ya wafuatao kushika nafasi zote muhimu za juu? Rais-mwislamu. makamu-mwislamu. jaji mkuu-mwislamu. mkuu wa polisi-mwislamu.rais na makamu wote wa zanzibar ni waislaamu. VS spika -mkristo. Waziri mkuu-mkristo.

Kwa uelewa wangu ninajua wote walioshika nafasi ni kutokana na uwezo wao na sio kigezo cha udini na ukabila.
Mimi ninafikiri mtafute sababu nyingine siyo hizo.

Unajuwa chadema ilianzishwa wapi? kama hujui, kaa kimya.
 
Hakika ni maneno ambayo kwa wale wenye upeo finyu wataona ni ya kawaida tu (kama mmoja wao hapo juu).

Wale wasioelewa na waelewe kuanzia sasa, Kuhubiri udini ndiyo chanzo cha kulibomoa taifa letu,.

Je, NYERERE angekuwepo nani angethubutu kufanya hivyo.

Tuna viongozi lakini sioni kama ni viongozi bali ni Tuna WaCHOCHEZI...
 
Hizi points za namna hii ndizo zilizoiliza CCM uchaguzi mdogo Arumeru East. CCM walikazana na propaganda zao dhidi ya CDM, wakati CDM waliwapotezea na ku-address pertinent issues za watu wa Arumeru, CCM walipoleta magari yenye kura hewa Wana-Arumeru wenyewe wakawazuia bila kutegemea Polisi wa TISS. Matokeo yalipotoka wakaanza kushikana uchawi kweupe!
HILA ZA CCM HAZITALIKOMBOA TAIFA LETU, BALI KULIBOMOA.
 
Back
Top Bottom