Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,161
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Lipumba need a full time job. Huyu jamaa amekuwa mwenyekiti wa hiki chama kwa miaka 15.
Jamani hivi cheo cha Lipumba ni lifetime position? Maana naona ameshakuwa kiongozi tangu watoto watakao vote 2010 walikuwa na miaka 2, mpaka sasa ni 16years
Mimi naona Lipumba anawadhalilisha watanzania wote kwa kuwaoana vilaza na hawana uwezo wa kuongoza, hivyo basi ameng'ang'ania kushikilia madaraka kwa miaka 16 sasa.
I know CCM ni wezi and they do wrong kwa Wanzazibar lakini CUF jee wanawatendea haki wa Zanzibar? Status quo ndio inatumaliza viongozi wa dunia ya tatu, they believe kwamba wao ni wao na hakuna wengine.
Zanzibar inahitaji "alternative political forces", na uongozi wa damu changa yenye uwezo wa kuendeleza mapambano ya kweli. Lete CV zako mzee...............Kibarua kipo huko.